Pata kitabu kizuri cha Chemistry. kiitwacho New Certificate Chemistry cha Holderness n. Lambert......kitabu hiki kinafaa kwa wanafunzi wote wa A level na O level wanaosoma Chemistry bei yake ni tsh.15,000/= kwa anaekitaka awasiliane nami kupitia 0689341445
Na pesa wanakutumia kwa tiGO pesa kwanza kabla ya kutuma kitabu. Baadaye kitabu hakitumwi na namba inakuwa haipatikani!!!!!!!
Sijakwambia utume pesa yoyote kama unakitaka kitabu unakutana na mimi mwenyewe muhusika unakiona then tunafanya biashara mi sina mda wa wizi wala ubabaishaji
basi tu sikitaki
Kitabu hiki nimekitumia A level na watu wengi pia walikua wanakitumia Alevel.............