$199 kwa simu iliyo na contract ya service ya miaka miwili, kila mwezi unalipa kiasi fulani kutokana na features unazotaka. Mitandao iliyo supported.
Kwanza itabidi uinunue kwa contract, sijui utayakwepa vipi hayo malipo ya kila mwezi, mwishoni inategemea ni iPhone ipi maana kuna ambazo hazitumii GSM na kuna ambazo ziko locked/unlocked so yote inategemea.kwa hiyo ukiwa bongo hakuna namna ya kufanya iliuweze kutumia..
kwa hiyo ukiwa bongo hakuna namna ya kufanya iliuweze kutumia..
Kabla ya kujua namna ya kuitumia jiulize kitu kimoja utaipataje maana vitu vya mkataba kama hivyo wanauziwa watu wenye ajira za kudumu, kumiliki asset zisizo hamishika kiasi kwamba huwezi kimbia ukiipata. Na kulipia 199 kwa miaka miwili kwa lugha nyengine utalipia dola 4776 kwa ujumla so ni bora ununue ilio unlocked. Maana wanaonunua hivo wanapewa internet na muda wa maongezi bure.
leo nilikuwa natembelea http://store.apple.com/us/browse/home/shop_iphone/family/iphone/iphone4s# na bei nilizo ziona nikacho dolla 199 na iphone s4 n 99$ alafu ni free shipping je ni kwel kama sijaelewa msahada wanajf
hiyo $199 kwa iPhone 5 na $99 kwa 4S zinalipwa at the spot, mwanzo wa mkataba.Kabla ya kujua namna ya kuitumia jiulize kitu kimoja utaipataje maana vitu vya mkataba kama hivyo wanauziwa watu wenye ajira za kudumu, kumiliki asset zisizo hamishika kiasi kwamba huwezi kimbia ukiipata. Na kulipia 199 kwa miaka miwili kwa lugha nyengine utalipia dola 4776 kwa ujumla so ni bora ununue ilio unlocked. Maana wanaonunua hivo wanapewa internet na muda wa maongezi bure.
hiyo $199 kwa iPhone 5 na $99 kwa 4S zinalipwa at the spot, mwanzo wa mkataba.
Kuna makampuni ya simu kama AT&T, Verizon, Sprint, Cricket na C-Spire yanayouza hizo simu kwa mikataba, prepaid na postpaid na wanakupatia na bonus tofauti kama Airtime, Texts na Data Bundles.
- AT&T wanauza iPhone 5 kwa $199 lakini utalipia $79 kila mwezi kwa miaka miwili na mwisho wa mkataba utakuwa umelipa $2095 including taxes na fees!
- Verizon wanauza iPhone 5 kwa $199 na kila mwezi utalipa $80 kwa miaka miwili na mwisho wa mkataba utakuwa umelipa $2119 including taxes na fees!
- Sprint wanauza iPhone 5 kwa $199 na kila mwezi utalipa $79.99 kwa miaka miwili na utalipa jumla ya $2118.76 including taxes and fees!
- Cricket wanauza iPhone 5 kwa $649 ambayo ni nyingi kidogo lakini ni kwa wale wasiotaka kuingia katika mkataba. Hiyo ni prepaid service na kwa kila mwezi utatakiwa kulipa $55 ili upate unlimited voice calls, unlimited texts na unlimited data (first 2.5GB at maximum speed na wataipunguza kidogo baada ya hapo). Ndani ya miaka miwili itakucost $ 1969 including taxes and fees!
- C-Spire wanauza iPhone 5 kwa $199. Wao wanatoa Postpaid service ambayo utapata unlimited texts, 500minutes ya voice calls na unlimited data na utalipia $60 kila mwezi. Baada ya miaka miwili utakuwa umelipa $1,639 including taxes and fees!
Hii ni summary ya gharama kwa miaka miwili kwa kila kampuni:
C-Spire $1,639
Cricket $1,969
Sprint - $2,118.76
Verizon - $2,119
AT&T $2,095
sasa kama ukanunua alafu ukaunlock ukaitumia kama sm za bongo
kama upo bongo nipm tuwasilane
Wauzaji wa used wameshindwa kuleta kweli mzigo wa simu used?