Pata free programs/softwares na ujuzi mwingne

mh... una program za kutengeneza cartoo.?... iwe cracked au with serials.............. help on that mkuuu
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::majani7::shut-mouth:
A%20S%20angry.gif
:target::bowl::fencing::cheer2::laser:
 
animation ama?
 
Kwako una software ya kuchakachua modem zenye tech ya cdma kama ttcl na zantel kutumia line zote?
 
hapo hata uroge hutoweza kuweka line ya voda,tigo, Airtel wala zantel zinazo tumia GSM kwenye modem ya CDMA, nisawa na kulazimisha radio ya FM ishike mawimbi ya AM
 
ila AM unaweza force ikadaka mawimbi ya FM
 
hujaelewa... Link unrhsiwa kupost... Ila sio kupigia promo blog yako... ..... Haya ntumie link via private message
 
Back
Top Bottom