Nkandi
Member
- Nov 20, 2010
- 83
- 42
Salaam Wanajamii,
Kukua kwa teknolojia ni faida kubwa sana kwa jamii,huduma ya kutuma fax na mtu kuipata kwa email ni huduma ambayo imekuwepo katika nchi mbalimbali,kwa nchi ya Tanzania ndiyo imeingia sasa.
Hii ni huduma inayokupa fursa wewe mtumiaji kupewa namba maalumu ambayo itaunganishwa na anuani ya barua pepe ya mteja,hivyo mteja atapokea fax katika format ya pdf popote pale atakapokuwepo duniani
Huduma hii ni bure aina gharama,vitu vinavyotakiwa ni Jina kamili la mteja na anuani yake na namba ya simu,baada ya hapo utatumia kwenye email yetu kkmarketing61@yahoo.com tutakupa 'access' ya huduma hiyo,utapata email yenye namba yako ya fax,ikiwa hautoiona email hiyo itakupasa uangalie kwenye 'spam folder' utaiactivate kwa kufungua link,baaada ya hapo utaweza kuanza kupokea fax kwenye email,huduma hii ni bure,ya uhakika na yenye usalama wa hali ya juu.
Kwa wanaohitaji hitaji kwaajili ya idara,tunaweza kuwaonganisha hata watu watano kama group email.
Kwa wanaohitaji huduma hii,nitumie email sasa hivi nakupa access. Ikumbukwe kuwa huduma hii ni bure kabisa
Naomba kuwasilisha.