Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,224
kama simu yako ni highend ina core za kutosha na ram kubwa kuanzia 2gb google chrome ni nzuri,Mkuu browser ipi ni nzuri kwa suffer katika net maana uc naituma kupakulia ma file sasa ku surf net ni ipi mkuu?
Simu yangu ina ram 1gb ila sio mediatek chipset so Nipe maelekezo hapo kwenye kuweka off compress kubwa? alafu jinsi ya ku play video youtube kutumia operamini bila ya youtube app mkuu. Ahsantehkama simu yako ni highend ina core za kutosha na ram kubwa kuanzia 2gb google chrome ni nzuri,
kama simu ni ndogo baki tu huku huku kwenye opera mini, kama sasa hivi opera mpya unaweza eka off ile compression kubwa kama unatembelea website zisizokubali opera.
wamekufikisha mkuu mahali pake aisee haya nambie name hiyo next browser niitumiejeDah!!! Nimeitest next browser ni balaa aisee...Dolphin ishapigwa nje.
Simu yangu ina ram 1gb ila sio mediatek chipset so Nipe maelekezo hapo kwenye kuweka off compress kubwa? alafu jinsi ya ku play video youtube kutumia operamini bila ya youtube app mkuu. Ahsanteh
Opera haina mpinzani.nimeitest kuanzia jana ipo poa kweli kushinda dolphin,ila opera mini sijawahi kuijaribu kwani na yenyewe ipo vizuri sana?kama hii next?
Uc iko fast sana ila inakula umeme na data kupita kawaida.mkuu operamini inafanananishika na ucweb na browser nyengine ambazo zinatumia proxy kucompress data. unapofananisha opera mini na dolphin, chrome au firefox unakosea.
kama unataka kufananisha chukua opera next ambayo inatumia webkit kama browser nyengine za android hapo ndo utafanya comparison nzuri
kuna uc ya kawaida na mini, download mini version haili data wala ram sana search ucbrowser miniUc iko fast sana ila inakula umeme na data kupita kawaida.
kama mtandao wako unakubali facebook bure pia utakubali freebasic ambayo ndio jf ya bure inapatikana.Hiyo next naweza kuingia JF hata kama sina salio kwenye simu...?
launcher ni kitu chengine na browser ni kitu chengine. search next browserzipo nyingi hizo next launchers nashindwa kuijua ni ipi hasa nitumieni picha yake