mahugijafarAzzubayr
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 202
- 156
umesahau kujibu swali moja la msingiHabari zenu wadau
Leo nakuja na maada hii ambayo inaonesha faida zinazo patikana katika majani ya stafeli
>hutibu saratani
>hutibu ngiri
>hutibu tezi Duke
Kwa uchache hivi ndivyo navyo faham kwa mwenyezi ujuzi zaidi anakaribishwa.
Habari zenu wadau
Leo nakuja na maada ambayo inaonesha faida zinazo patikana katika majani ya stafeli
Habari zenu wadau
Leo nakuja na maada hii ambayo inaonesha faida zinazo patikana katika majani ya stafeli
>hutibu saratani
>hutibu ngiri
>hutibu tezi Duke
Kwa uchache hivi ndivyo navyo faham kwa mwenyezi ujuzi zaidi anakaribishwa.
Kwaiyo ulivyoandika tu hivyo ndo imetosha swahiba???
>hutibu saratani
>hutibu ngiri
>hutibu tezi Duke
Kwa uchache hivi ndivyo navyo faham kwa mwenyezi ujuzi zaidi anakaribishwa.
Mmh ndugu yangu hata kama ni kuchokoza mada sio hiviHabari zenu wadau
Leo nakuja na maada hii ambayo inaonesha faida zinazo patikana katika majani ya stafeli
>hutibu saratani
>hutibu ngiri
>hutibu tezi Duke
Kwa uchache hivi ndivyo navyo faham kwa mwenyezi ujuzi zaidi anakaribishwa.
Kwa kuyasaga katika blenda ili yawe kama juisi kisha una anza kuya tumiaumesahau kujibu swali moja la msingi
HOW?
Sawa kaka mshana vuta subira utavuna kheriMmh ndugu yangu hata kama ni kuchokoza mada sio hivi
Asante nimeshaanza kuonaSawa kaka mshana vuta subira utavuna kheri
Huna nondo.Haija tosha nimeacha nafasi kwa walio na ujuzi zaidi waje kabla sija leta full nondo
Ha ha haa haaaa anazingua huyu jamaaHuna nondo.
Ukiskia mahali sasa unataka ujue zaidi na unashindwa uulizeje.
Hahaha mi pia Nina majukum mengne ndugu kwa hyo keep calmHuna nondo.
Ukiskia mahali sasa unataka ujue zaidi na unashindwa uulizeje.