Natania
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 262
- 217
Je unajua kuwa unaweza kuhifadhi mafaili yako mtandaoni? Usiweke documents zako zote kwenye flash disk ama computer kwani vikiharibika ama kuibiwa ndo basi tena. Kuna mitandao mingi inatoa free ONLINE storage na Syncronisation of files (yaani unaamua kama file liwe mtandaoni na kwenye computer yako pia). Copy (kampuni) wapo vizuri sana kwani wanakupa 15GB free lakini unapata tena 5GB kwa completed referrals. Kama unahitaji kuwa mmoja wa watumiaji wa Copy basi click link ifuatayo ili tufaidi wote. https://copy.com?r=sfxCy3