Pasua Kichwa Ndio huyu hapa

Kumbe huyo wa mwanzo pia alimuweka kimtego.....
 
hatua ya mwisho haistahili hata kama amemsaidia ni bora amwache aende zake mbona yeye alipomfungua hakurudi kwa wa mwanzo?
 
Hujaelewa MadameX, anamrudisha alikomtoa baada ya kuanza kumfanyia visa, angalia anavyompiga!
 
Hii nimeikubali sana unatolewa barabarani na kuolewa kwa kuhurumiwa afu unakuja kuvimba kichwa???? Safi sans Pasua kichwa!
 
Lakini alivyo mrembo atatokea zuzu mwingine atamwokoa na kumpeleka kwa kasisi.
 
hatua ya mwisho haistahili hata kama amemsaidia ni bora amwache aende zake mbona yeye alipomfungua hakurudi kwa wa mwanzo?

Baba unachofikiria si hicho. Picha imebeba Fumbo lingine tofauti na unavyodhani. THINK TWICE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…