Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,410 Reaction score 82,323 Aug 4, 2014 #41 geniveros said: mi nlishangaa jana kwa kweli gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao) bora hata angennua dira akalimodoa! Click to expand... Ndio ukweli huo,atakayebisha ni mshamba mwenzie
geniveros said: mi nlishangaa jana kwa kweli gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao) bora hata angennua dira akalimodoa! Click to expand... Ndio ukweli huo,atakayebisha ni mshamba mwenzie
jmaroa Senior Member Joined Jul 29, 2014 Posts 111 Reaction score 23 Aug 4, 2014 #42 Sasa hv wanapeana vtusi..
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Aug 4, 2014 #43 nifah said: Ndio ukweli huo,atakayebisha ni mshamba mwenzie Click to expand... kashona chilimen...!!!
nifah said: Ndio ukweli huo,atakayebisha ni mshamba mwenzie Click to expand... kashona chilimen...!!!
K kokuhilwa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 292 Reaction score 217 Aug 4, 2014 #44 neggirl said: Nahisi hii ni ile staili sawa na ya kitchen party ya kuazima vyombo kwa ajili ya show off lolz.. Otherwise tunarekodi movie. Click to expand... show-off mbaya jamani,kwani walishindwa kuweka bank na wakamletea bank receipt.ushamba ni gunia la misumari
neggirl said: Nahisi hii ni ile staili sawa na ya kitchen party ya kuazima vyombo kwa ajili ya show off lolz.. Otherwise tunarekodi movie. Click to expand... show-off mbaya jamani,kwani walishindwa kuweka bank na wakamletea bank receipt.ushamba ni gunia la misumari
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,925 Reaction score 8,440 Aug 5, 2014 #45 Kaweke hela kwenye tololi lakini kapiga picha kwa kutumia simu ya mulika mwizi
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Aug 5, 2014 #46 Hivi hizo pesa hapo ndo zimetimia milioni 250 au!!? mbona naona kama noti moja moja ambazo huenda zikafika kama 570,000/-!...mweh!!
Hivi hizo pesa hapo ndo zimetimia milioni 250 au!!? mbona naona kama noti moja moja ambazo huenda zikafika kama 570,000/-!...mweh!!
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,920 Aug 5, 2014 #48 Kwaio na majambazi walikua hawana taarifa?? Duuhh aiseee...ushamba noma....!!ni Shida....kama wasemavyo ma- bontauni...!! Hhahahhahaha
Kwaio na majambazi walikua hawana taarifa?? Duuhh aiseee...ushamba noma....!!ni Shida....kama wasemavyo ma- bontauni...!! Hhahahhahaha
Justin Dimee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,145 Reaction score 249 Aug 6, 2014 #49 ndo wanasema wame make history. duhu picha nazo zime wa chochora wametoka weusii
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Aug 6, 2014 #50 geniveros said: mi nlishangaa jana kwa kweli gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao) bora hata angennua dira akalimodoa! Click to expand... umeona eeh biharusi ni mzuri sana ila alikosa usimamizi
geniveros said: mi nlishangaa jana kwa kweli gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao) bora hata angennua dira akalimodoa! Click to expand... umeona eeh biharusi ni mzuri sana ila alikosa usimamizi
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Aug 7, 2014 #51 miss strong said: Hizo pesa kapewa na nani??? Click to expand... Kufuru hela zimebandikwa moja moja hata laki 3 hazifiki
miss strong said: Hizo pesa kapewa na nani??? Click to expand... Kufuru hela zimebandikwa moja moja hata laki 3 hazifiki
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,279 Reaction score 38,855 Aug 7, 2014 #52 Kweli bongo msanii ni bongo msanii tu.! Sijui wamelaaniwa!!! Hizo hela kwenye kitoroli za nini?????? Stupid
Kweli bongo msanii ni bongo msanii tu.! Sijui wamelaaniwa!!! Hizo hela kwenye kitoroli za nini?????? Stupid
SirChief JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 3,304 Reaction score 3,380 Aug 7, 2014 #53 nifah said: Ndio ukweli huo,atakayebisha ni mshamba mwenzie Click to expand... Ni gauni tu linkutoa povu kiasi icho mkuu!! Au una jingine moyon?
nifah said: Ndio ukweli huo,atakayebisha ni mshamba mwenzie Click to expand... Ni gauni tu linkutoa povu kiasi icho mkuu!! Au una jingine moyon?
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,410 Reaction score 82,323 Aug 7, 2014 #54 SirChief said: Ni gauni tu linkutoa povu kiasi icho mkuu!! Au una jingine moyon? Click to expand... Jingine moyoni kama nini?kwa hiyo kama ni baya nisiseme au?huyo myamba ni nani hasa hadi niwe na jingine moyoni juu yake?
SirChief said: Ni gauni tu linkutoa povu kiasi icho mkuu!! Au una jingine moyon? Click to expand... Jingine moyoni kama nini?kwa hiyo kama ni baya nisiseme au?huyo myamba ni nani hasa hadi niwe na jingine moyoni juu yake?
SirChief JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 3,304 Reaction score 3,380 Aug 7, 2014 #55 geniveros said: mi nlishangaa jana kwa kweli gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao) bora hata angennua dira akalimodoa! Click to expand... Ata ngevaa khanga, the basic point ni kwamba ndoa ishafungwa na maisha yanaendelea,makosa mengine yatasahaukika baada ya sku 2.
geniveros said: mi nlishangaa jana kwa kweli gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao) bora hata angennua dira akalimodoa! Click to expand... Ata ngevaa khanga, the basic point ni kwamba ndoa ishafungwa na maisha yanaendelea,makosa mengine yatasahaukika baada ya sku 2.
SirChief JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 3,304 Reaction score 3,380 Aug 7, 2014 #56 nifah said: Jingine moyoni kama nini?kwa hiyo kama ni baya nisiseme au?huyo myamba ni nani hasa hadi niwe na jingine moyoni juu yake? Click to expand... Gauni ni bya compared na lipi?,na kipi kilichopekea uone gauni ni baya?,Na pia ubaya wa gauni unaadhiri vip iyo ndoa iliyofungwa apo?.
nifah said: Jingine moyoni kama nini?kwa hiyo kama ni baya nisiseme au?huyo myamba ni nani hasa hadi niwe na jingine moyoni juu yake? Click to expand... Gauni ni bya compared na lipi?,na kipi kilichopekea uone gauni ni baya?,Na pia ubaya wa gauni unaadhiri vip iyo ndoa iliyofungwa apo?.
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,761 Aug 7, 2014 #57 Honey Faith said: Kapewa na nani?Hizo ni milioni 25 au 250? Click to expand... ni million mbili na nusu... nimezihesabu......teheeteheee
Honey Faith said: Kapewa na nani?Hizo ni milioni 25 au 250? Click to expand... ni million mbili na nusu... nimezihesabu......teheeteheee
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 Aug 9, 2014 #58 myamba katisha
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,338 Reaction score 6,427 Aug 13, 2014 #59 miss neddy said: umeona eeh biharusi ni mzuri sana ila alikosa usimamizi Click to expand... unaweza ukuakuta ameongozwa na mumewe kuchagua gauni au kama Fundi kamshonea vibaya kumkomesha
miss neddy said: umeona eeh biharusi ni mzuri sana ila alikosa usimamizi Click to expand... unaweza ukuakuta ameongozwa na mumewe kuchagua gauni au kama Fundi kamshonea vibaya kumkomesha
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Aug 13, 2014 #60 Pesa za kibongo ni sawa na makaratasi tu. In a year hamna kitu tena.