heeeeeee hii kufuru
Muigizaji maarufu Emmanuel Myamba kwa jina la kisanii Pastor Miyamba amefunga harusi jana na kupewa gari jipya pamoja na pesa taslim shilingi million 250. Mungu awajalie katika ndoa yao.
Source: http://millardayo.com/myamba/
Kapewa na nani?Hizo ni milioni 25 au 250?
Kapewa na nani?Hizo ni milioni 25 au 250?
Duuu hizo ni hela kweli au photoshop