TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
😂 😂 aseee...!!nina mashaka na mleta uzi, huenda ndio mhusika anaejadiliwa!!!
😂 😂 aseee...!!nina mashaka na mleta uzi, huenda ndio mhusika anaejadiliwa!!!
Sio mrombo ni wa kibosho/ mkiosoNi Mtanzania.Kwa ushuhuda wake mwenyewe alisema alikua mwizi na jambazi miaka ya nyuma ila akaokoka. Ameimba nyimbo za gospel Malebo part one na part two. Ni mrombo. Anaishi kenya. Mtoto wake mwaka jana au mwaka huu mwanzoni alikamatwa na ganja kenya. Anaichukia sana serikali ya ccm. Ingawa sijajua sababu hasa. Nyimbo na hotuba zake zipo pia youtube.
Wewe ndio malebo aliekuimba?Ni mtz nimesoma naye primary alimaliza 1975 baada ya miaka 3 akahamia Kenya yeye na ccm ni mbali mbali
Bila shaka. Muhimu kila mtu ana maisha yake binafsi. Faustini nampenda hasa kwa nyimbo zake.Wewe ndio malebo aliekuimba?
Duh, jamaa aliichana ccm ileile yani!!😎😎😎😎 jamaa noma,
Tangu aimbe CCM imezeeka ikawa shida na kukimbilia Kenya Mwaka 2000. Tafuta You tube wimbo unaitwa MPENDE ADUI - Pastor Munishi