Pastor makes church members drink DETTOL DISINFECTANT for miracle

Pastor makes church members drink DETTOL DISINFECTANT for miracle

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
Mchungaji huyo maarufu kwa jina la Rufus Phala kutoka kanisa la AK Spiritual Christian lililopo Makgodu, Limpopo, Afrika Kusini amewashangaza watu kwa kitendo cha kuwanywesha watu dawa ya kuua bakteria wanaoishi kwenye majimaji “Dettol” wakati ijulikana kuwa Dettol ina madhara endapo itatumika ndani ya mwili wa binadamu.

Mchungaji huyo hufanya kitendo hicho kwenye ibada za kawaida kanisani kwake akiwataka waumini wenye matatizo na wanaohitaji maombi wanywe Dettol anayokuwa ameishika mkononi mwake huku akiwambia watapona shida zao ikiwemo magonjwa.

=========================
Prophet-Rufus-450x330.jpg


A popular South African clergy, Prophet Rufus Phala of AK Spiritual Christian Church in Makgodu, Limpopo, has stunned people with his unusual healing methods.

The man shocked members and outsiders when he made his church members drink Dettol.

This is coming just a few weeks after one Prophet Lethebo Rabalago sprayed his congregation with Doom, to heal them of afflictions.

According to Daily Sun SA, Prophet Rufus made his church members drink Dettol during Sunday service.

Prophet Rufus reportedly told the congregation to drink the antiseptic liquid, promising they will be healed of their sickness.

“I know Dettol is harmful, but God instructed me to use it. I was the first one to drink it,” he claimed.

“But if it goes into your stomach and gets absorbed into your body, it decreases the amount of oxygen in your system. This might cause to you collapse and die.

“If you vomit the liquid into your lungs, it causes aspiration pneumonia.

“Your lungs will get swollen and you won’t be able to breathe.”


Dr Makhomisane advised the people who drank the liquid to consult a doctor to check whether any damage was done.


Source: jadeafricanvlog.com
 
mtu akipoteza matumaini hata kinyesi atakula. hakuna tofauti na waloliondo
 
Mi hata supu ntainywa ilmrad anihakikishie matatzo yangu kwishney
 
Na kwa namna wananyodanganywa ndivyo wanavyozidi kuamini.... hatari sana.!
 
Mkuu ni kupoteza matumaini au ni ujinga(Ukosefu wa elimu)?
Mkuu siyo kwamba wanaukosefu wa elimu. Kuna watu wana PhD lakini wanafanyiwa mambo kama haya. Yaani religion is like an Opium once you take it, believe you will never leave it. Hii ni tatizo kubwa hasa katika jamii yetu ya waafrica. Tunapenda kuiga iga tu hata vitu visivyo kuwa na msingi. Hebu angalia wanavyoadhimisha christmass bila hata kujua kuwa chrismas siyo sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu. Kwa sababu Chrismas ilikuwepo hata kabla Yesu hajazaliwa. Chrismass ilikuwa ni sikukuu ya wazungu ya majira ya baridi. Mti wa Mchrismass ilikuwa ni ritual ya wazungu wakiamini unafukuza roho wabaya. Na zile taa wanazoweka kwenye mti huo ni ilishara ya kuleta mwanga ndani kwa sababu majira ya baridi yalikuwa yakiambatana na giza nene. Leo hii ukienda kwenye nyumba za wakristo (Waafrika) utakutana ni mapambo kama haya kitu ambacho hata hawajui nini wanakifanya. Nadhani hili ni tatizo kubwa sana katika jamii yetu. To believe blindly. Angalia sasa mtu anakunywesha dettol nawe unakubali tu. Kama siyo wendawawazimu nini? Walokole nawaonaga kama akili zimewaruka hivi
 
Kazi kweli.kweli


Walokole wote mm.naona.wagonjwa hata tz wapo kibao
 
Back
Top Bottom