Pastor Chris: Avoiding a bad marriage.

Pastor Chris: Avoiding a bad marriage.

areafiftyone, Mi sikatai kuwa Nyoka ni ishara ya shetani, je Fimbo ni ishara ya nini?
Mkuu mti ni ishara ya msalaba,ila unajua kwamba msalaba ulitumika hata kabla ya Yesu na infact chanzo chake sio Christian? Frankly kama Wakristo hatupaswi kuupenda au kuuenzi msalaba, because it has a demonic origin na pia kwa kuwa ni tool iliyotumika kum-crucify Kristo.Why the cross appears in many so called Christian denomination buildings to me is a million dollar question.This inturn means that each Bible episode must be judged on a case to case basis.

Halafu sio kila kitu Biblia iIicho "report" ni kizuri mkuu.Sometimes writers were reporting events as they happened.Kwa mfano Biblia inasema kwamba Mfalme Sulemani alikuwa na masuria mia saba! Does it mean that we can also marry 700 women?The answer is no.Mfalme Sulemani alikuwa anaonyeshwa kama mtu muovu lakini ambaye baadae atajutia uovu wake.Ndio maana nikasema Roho Mtakatifu aamue kwenye kila jambo.
 
I have already involved God in my choice. I was given a right person by God although I'm not saved. During the time of friendship I think God according to my own thought, doesn't forbid us to sex as long as she is my partner in life. Try to carry out research, take sample of 10 people who are about to get marriage how many abstain from sex up to marriage day? Do it preciously. You said practitioners have proved that, I don't understand, can you elaborate!


Sent using Jamii Forums mobile app
What i mean is the lifelong relationship.not just asking any married couple
 
Back
Top Bottom