Mkuu ng'wanankamba mwenye number hiyo ni authorised dealer wa PASTEL Tanzania.Binafsi nimepata course ya wiki mbili ya PASTEL kwake kwakuwa nilikuwa najua ACCUPAC na QUICK Book ilikuwa rahisi kwangu kuijua haraka.Labda ana kukwepa kwasababu umeinunua PASTEL sehemu nyingine.