Shuleni tulijifunza kiingereza nafikiri wengi wetu tunajua.
PAST>PRESENT>FUTURE
Hii ni safari ya maisha yetu ya siku zote
PAST - huwa ni mzigo wa vitu visivyo na maana ukiubeba utakuelemea sana bila faida.
PRESENT- huwa ni hali ya kutokuwa huna mzigo ni wewe kama wewe na kama umekataa past ndiyo present itakuwa nzuri .
FUTURE- Nguvu uliyonayo present ndiyo unatakiwa uende nayo future sasa kama utaendelea kuibeba mizigo ya past ukaja nayo present nakwambia future utakuwa huna nguvu .
Kuna maelezo ambayo watu wameyapokea huko nyuma na ni mazuri kweli , lakini hayakupaswa kusikilizwa.
Una marafiki , tabia, ulikuwa nazo huko nyuma sasa hukupaswa kuwa nazo sasa ili uingie future
Be inspired