Past present and future tense

The MoNA

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
4,264
Reaction score
10,503
Kujifunza chini ya mwembe tabu jamani mwisho saa sita ila sio sababu ya kutofanya vizuri.


Msaada wenu wa *Tense* na Lugha kwa ujumla. Najaribu kupitia mitandao kuhusu *tense* ila napata changamoto Kwenye nyakati
kwa kukosa mwelekezi...

Ali kwenye. LI
Ame kwenye ME
Ana kwenye NA
At a kwenye TA
jinsi ya kuunda hizi sentensi kwa ufasaha ndio changamoti kwangu..
Wajuzi msaada kwangu nikarabati hii lugha.
 
Ali kwenye. LI. - she went to the market
Ame kwenye ME - she has gone to the market
Ana kwenye NA- she is going to the market
At a kwenye TA - she will go to the market
Nitafute kwa maelekezo zaidi

jinsi ya kuunda hizi sentensi kwa ufasaha ndio changamoti kwangu..
Wajuzi msaada kwangu nikarabati hii lugha.[/QUOTE]
 
[/QUOTE]
Ningeweza Ku like Mara 1000",.. dahh
shukran mkuu",...
 
nikutafute wapi chuizi maarifa
 
Soma hizi tense 9 kwanza. Chukulia kuna tense makundi 3. Present,past future. Kili moja igawanye Mara tatu, simple,continuous,na perfect. Unapata; 1.present simple 2.present continuous 3.present perfect 4.past simple,5.past continuous 6.past perfect 7.future simple,8.future continuous 9.future perfect. Tafsiri.1.I go- huenda 2.Am going-naenda 3.I have gone-nimeenda 4.I went-nilienda 5.I was going -nilikuwa naenda 6.I had gone-Nilikuwa nimeenda.7.I will go- nitaenda 8.I will be going-nitakuwa naenda 9. I will have gone- nitakuwa nimeenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…