Past papers zote ziko hapa

Asante Sana: Lankini nimebonyeza hiyo link ikanipeleka kwenye Homepage ya hiyo site ila nimefuatilia nikaona kila kitu kuhusu Taaluma kipo kwenye link ya Academics for Students ukifungua hiyo website utaona sehemu imeandikwa Education utaona menu nyingi hapo ndio ipo moja imeandikwa Academics.
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom