Passwords Zinantesa!

Ha ha haaaa 60 mbona ni wengi hivyo kabanga
hivi kwa sasa unaweza kujua hata test zao kweli.
Mamndenyi mbona uneshituka hivyo....?
ladha tofauti kuanzia uzaramuni, wa iringa, wa dodoma, warombo wamachame, wakibosho sijui wa uru, wakule kwetu tanga mjini , pangani, lushoto, bado mazeruzeru, waarabu koko wa shinyanga, wasomali wa handeni na keko, wajaluo wa kenya, wamombasa..... wewe tofauti ipo!
 
Last edited by a moderator:
Yalaaa,
Umemaliza kazi.

Tuma salamu uchague na wimbo
pengine dj wetu BAK atatuburudisha.

 
Last edited by a moderator:
BAK nimemwona kule kwenye jukwaa tata sijui kama tatoka huko salama. kabanga hembu wataje majina mmmh na hiyo foleni sijui itafika wapi
labda kibaha. Judgement ameshathubutu bado wewe tu.

BAK peperusha hizi salaamu, ziwandee wadada wale wote walionitumia....
 
Last edited by a moderator:
BAK nimemwona kule kwenye jukwaa tata sijui kama tatoka huko salama. kabanga hembu wataje majina mmmh na hiyo foleni sijui itafika wapi
labda kibaha. Judgement ameshathubutu bado wewe tu.
BAK yupo kule sihasani au chini kabisa....?
Wajua kutaja inakuwa ngumu wengine tunamikataba binafsi... kweli wanaweza fika mlandizi! Judgement wake wamefika maili moja au ruvu?
 
Last edited by a moderator:
nakushauri fungua kampuni ya mapasi-wadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…