Password

Password

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Mme na mke wake walikuwa wanashindana kuweka password mpya kwenye computer yao
mme akawa amekomalia kuwa password iitwe 'uume'
mara mke akawa ameanguka chini kwa kicheko,kumbe screen ya computer iliandika,
error,error,not long enough.
 
Mvulana:Hivi ukimpenda msichana utaanzaje kumwambia nakupenda?
Msichana:ni rahisi sana,mwambie tu nakupenda,
Mvulana:ebu tujaribu kwa vitendo
Msichana:Lol!haya
Mvulana:Nakupenda
Msichana:nakupenda pia,si unaona ilivyo rahisi kumwambia!nenda kamwambie sasa.
Mvulana:Tayari nimeshamwambia na amenijibu ananipenda
 
teh teh teh teh teh!!!!!!!!!!!!!
 
Mme na mke wake walikuwa wanashindana kuweka password mpya kwenye computer yao
mme akawa amekomalia kuwa password iitwe 'uume'
mara mke akawa ameanguka chini kwa kicheko,kumbe screen ya computer iliandika,
error,error,not long enough.

heheheheeeee
 
Back
Top Bottom