password za kuingia kwenye setup zimesahulika

Jachi James

Member
Joined
Mar 31, 2013
Posts
30
Reaction score
1
Masada wakubwa kuna pc imesahaulika password zake za kwnda kwenye setup kama kuna yeyote anaejua jinsi ya kuchakachua au kuziondoa naomba msaada wake na naomba kujua cmos better inatunza password ipi naomben msaada wenu
 
Jieleze vizuri,password ya kwenda kwenye setup unamaanisha nini?
Computer huwa zinakuwa na user wa aina tatu
Administrator ,standard user na Guest,account ya administrator inauwezo wa kufanya installation za software na kucontrol account zingine.
Wewe password uliyosahau ni ya account ya admin au mliweka power on password au unamanisha nini?BIOS setting pasword?
 
Kama ni Desktop unaweza kuchomoa CMOS battery au kuset CMOS jumper itafuta BIOS password.
Kama ni Laptop kuchomoa CMOS hakutafanya kitu laptop za zamani kuna uwezekano wa kuipata password kwa kutumia password generators au kwa kuipiga shoti microship kwenye motherboard. Lakini generaly BIOS password ya Laptop ziku hizi za karibuni hazitoleki, mpaka manufacturer mwenyewe akusaidie na kwa hili unahitaji proof kuwa ulinunua wewe.
 
Jaribu hii kitu, niliwahi kutumia zamani flani hivi kwa kutoa pswrd ya user accounts ila niliona na option ya bios password (if not mistaken)...inaweza kukusaidia..but you shoul be careful with what you are doing..
Ultimate Boot CD - Overview
 
Jieleze vizuri,password ya kwenda kwenye setup unamaanisha nini?
Computer huwa zinakuwa na user wa aina tatu
Administrator ,standard user na Guest,account ya administrator inauwezo wa kufanya installation za software na kucontrol account zingine.
Wewe password uliyosahau ni ya account ya admin au mliweka power on password au unamanisha nini?BIOS setting pasword?

yec n BIOS passwords
 
Kama ni Desktop unaweza kuchomoa CMOS battery au kuset CMOS jumper itafuta BIOS password.
Kama ni Laptop kuchomoa CMOS hakutafanya kitu laptop za zamani kuna uwezekano wa kuipata password kwa kutumia password generators au kwa kuipiga shoti microship kwenye motherboard. Lakini generaly BIOS password ya Laptop ziku hizi za karibuni hazitoleki, mpaka manufacturer mwenyewe akusaidie na kwa hili unahitaji proof kuwa ulinunua wewe.

asnt kwa maelezo mazur
 
Back
Top Bottom