Password request during installation of any prog

Password request during installation of any prog

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
5,760
Reaction score
6,695
Habarini wakuu! naombeni msaada kwa hili jambo! kuna hii kitu niliiona sehemu nayofanyia kazi kwenye computer za ofisini! ukitaka kufanya intallation ya kitu chochote kwenye computer hizo huwa zinadai uweke password ndo uweze fanya unachotaka! hii system niliipenda na nataka niifanye kwenye mashine yangu kama ikiwezekana! natumia windows 7! naombeni msaada wakuu!!!!
 
neta kwenye control panel sehemu ya parental setting utengeneze account ya user mwingine then utapata na option zingine mkuu za kuset program zako zote kwa password
 
neta kwenye control panel sehemu ya parental setting utengeneze account ya user mwingine then utapata na option zingine mkuu za kuset program zako zote kwa password
Asante kwa msaada! subiri nijaribu patakaposhindikana nitarudi tena!

:A S 41::A S 41:
 
Back
Top Bottom