Mi mke wangu hana shida kabisa na password,
kuna muda utakuta nachat na mchepuko kwenye simu, then ghafla naanza kucheka.
Yeye anasema halafu wewe unachat na kimada wako hapo!
Kisha mimi kwa kujiamini nasema kama ni kimada chukua simu usome mwenyewe (wakti huo ni kweli pana msg ya mchepuko)
kisha yeye anaishia tu kusema haya bwana na usanii wako huku anacheka.