Passport ya kusafiria,

Passport ya kusafiria,

Powells Dady

New Member
Joined
Aug 29, 2016
Posts
2
Reaction score
3
Guys naomba anaefaham anielekeze hatua ya kwanza hadi mwisho unapohitaji passport ya kusafiria nje, na unatakiwa uwe na viambatanishi gani, pia ofic husika ziko wap

Nko dsm.
 
Habari Mkuu.Kwa ushauri nenda ofisi za uhamiaji watakupa abc za namna ya kupata hiyo hati ya kusafiria(Passport) wako vizuri watakuelekekeza kila kitu.
 
Hizi zama za utandawazi kila kitu kipo mtandaoni, jishughulishe tu Mkuu.
 
Ofisi zipo kurasini..immigration house..
-Cheti cha kuzaliwa
-sababu ya kuomba passport
-Namba ya vitambulisho vya uraia vya wazazi
-vyeti vya wazazi vya kuzaliwa/affidavit kutoka mahakamani
 
Guys naomba anaefaham anielekeze hatua ya kwanza hadi mwisho unapohitaji passport ya kusafiria nje, na unatakiwa uwe na viambatanishi gani, pia ofic husika ziko wap

Nko dsm.
-cheti chako cha kuzaliwa,kitambulisho cha taifa(hiki ndicho muhimu sana),vyeti vya kuzaliwa vya wazazi,sababu ya kuomba hiyo hati,hapo napo ni inshu,lazima uwe na sababu kama ni matibabu cheti kinatakiwa,matembezi barua ya mwaliko.
 
Back
Top Bottom