Tanzania kuna maajabu , yaani mdau unakuja kuomba passport JF , eti ukisisitiza kuwa wakupatie mapema.? kweli ? napata wasi wasi hata huko unakoenda kama unaenda kwa wema , coz passport ni mali ya serikali na inatolewa na mamlaka za serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania tu na sio mamlaka ya jmhuri ya JF. Hebu nenda uhamiaji kafate taratibu hata za kupata emergence passport kama una haraka kwani haichukui hata siku 2 kuipata.

vip umeshapata...kam bado nichek. 0766315487