Passport sizi ya ukweli

Passport sizi ya ukweli

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
40086_140026406030387_100000690859636_233561_7182712_n.jpg

Hii ni zaidi ya passport size dah! starehe inaharibika kabisa unakuwa huna self confidence...
 
mkuu hii inasaidia circulation ya hewa zaidi....
 
Mbona hata dudu itaonekana wajameni, hii iko wapi?
 
alafu wewe kupiga watu picha ukiwa kwenye gari halafu unaleta hapa. Hapa si ulinipiga maeneo ya Dodoma, halafu ukaja i post hapa!
 
Mara upepo huoooo kila kitu kinapeperuka unabakia umekamata dudu yako tu kama bunduki hahahaha
 
Hizi pp size nzuri sana, sijawahi kuona chenye harufu mbaya. Yaani hapo ni full a/c
 
Kama kuna miti/minazi mirefu wataalam wa kozi wanajipatia kideo cha bure.
 
alafu wewe kupiga watu picha ukiwa kwenye gari halafu unaleta hapa. Hapa si ulinipiga maeneo ya Dodoma, halafu ukaja i post hapa!

Hapa ndio panapotaka kuwa makao makuu ya nchi?,bora wanavyopotezea..
 
alafu wewe kupiga watu picha ukiwa kwenye gari halafu unaleta hapa. Hapa si ulinipiga maeneo ya Dodoma, halafu ukaja i post hapa!

Tena ni Maeneo ya Kisasa nyuma ya Shule ya Martin Luther Pale dodoma karibu na Nyumba walizojengewa Wabunge alafu wakazitosa!
 
Wametumia mifuko ya cement kujenga choo sijui cement yenyewe ilitumika kujenga nini....labda makaburi
 
Kdudumu chama tawala, na heko kwa kutimiza miaka hamsiniiiiiii, zidumu fikra za mwenyekiti wa chamaaaa, maisha bora oyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
 
kama naisikia sauti ya komba ikinguruma katika nyimbo zake hiviii,,,,,CCM ,CCCM ,,,aaaaah aahhaaaaaaaaaaa chama cha magamba,,,,cccm nambari one,,,, DUh! hi kiboko
 
Back
Top Bottom