Passport kutolewa ndani ya siku 3

Mfumo umetengenezwa kuzuia wananchi wasipate pasipoti ndio maana wanataka barua ya kazi, mwaliko, shule nk ili upewe pasipoti.

Inashangaza sana kwa kweli
Inashangaza kuona wasomi wa sasa waliotembea nchi za watu bado wamekubaliana na mawazo ya wazee waliopiti ambao walitengeneza mifumo ya kumbana mwanachi ktk swala hilo. Yaani mlolongo mreeeefu
 
Sema wanaokera ni hawa manyumbu NIDA kakadi ka uraia wanaona ni dili kubwa saana.
 
Kwa hili nchi yetu imepiga hatua sana, mm nilipata ndani ya siku tatu yani nilijaza form jtatu nakupata jtano ya week hiyo hiyo. Na tena jina langu lilitoka jnne
Bongo nchi ya kishamba sana kwenye ukanda wetu ,wanadhani passport ndio mwisho kumbe kuna Visa/Resident permit ya huko uendako.
Wakubwa hivi eti inawezekanaje Rwanda passport kutolewa ndani ya siku 3,watz tunakwama wapi
 
Back
Top Bottom