Passport inahitajika

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,004
Habari za Jpili.?
Nahitaji kupata passport halali ya kusafiria toka Uhamiaji.Ni mzaliwa wa Tz,na nina cheti Original cha kuzaliwa,halikadhalika wazazi wangu ni watanzania wa kuzaliwa.

Naomba kupata connection ili niweze kupata passport ya kusafiria,najua kuwa zinatolewa Uhamiaji ila nimebanwa na kazi kwa hiyo nahitaji agent wa kunisaidia kupata ila asiwe TAPELI.
Kwa anayeweza kunisaidia kupata awasiliane nami kwa PM au anipe contact zake hapa jukwaani.
Asanteni.!
 
nenda moja kwa moja office za uhamiaji..utapata passport yako usikubali kutoa rushwa.PASSPORT NI HAKI YA KILA MTANZANIA
Nayajua madhara ya rushwa na pia natambua passport ni haki yangu ya msingi ya kikatiba.
Ila niko tight ndiyo maana naomba support toka kwa agent.
 
Mbona process haichukii siku nzima? Mkilizwa mnakuja na vijithread wakati mambo mengine unayasabisha mwenyewe. The fact kuwa hutaki kubadilisha ina maana hujawahi kuwa na passport, omba uelekezwe badala ya kufanyiwa. Eti ubusy......my azz....
 
Finger print nitaweka mwenyewe,kikubwa yeye ni kuanzisha mchakato then,mimi mwenyewe nikihitajika kwa ajili ya fingerprint nakwenda mara moja.
Nani kakwambia kuna mchakato?mtume mtu akakuchukulie form aelekezwe sehemu ambazo mwanasheria atapiga mihuri then wewe jiandae kujaza na haya yafuatayo
1. Nenda na passport size 7 atakayekupiga mwambie ni kwaajili ya pass ya kusafilia ya kimataifa wanajua wao
2.Elfu 50
3.Step duty 2
4.Copy ya cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha kupigia kura
5.Kama umeajiliwa barua ya mwajili yakukutambulisha au kama bado basi ya mtendaji..

Ukishamaliza jaza form weka viambatanisho vyako peleka uhamiaji kwa ajili ya fingertips.Nizoez lisilozidi saa moja.
NB:kwa uzoefu wangu kwa mimi wa mkoani

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Finger print unafanya mbele ya afisa uhamiaji sasa wataka aje nyumbani au?
 
Mbona process haichukii siku nzima? Mkilizwa mnakuja na vijithread wakati mambo mengine unayasabisha mwenyewe. The fact kuwa hutaki kubadilisha ina maana hujawahi kuwa na passport, omba uelekezwe badala ya kufanyiwa. Eti ubusy......my azz....
ooopsss hahahaa nyc temper
 
nenda moja kwa moja office za uhamiaji..utapata passport yako usikubali kutoa rushwa.PASSPORT NI HAKI YA KILA MTANZANIA

Ni kweli ila wale jamaa wa uhamiaji bila kuwapa kidogo aise utazungushwa mpaka ukome, binafsi nilizungusha kama miezi 3 hivi mfululizo ila siku nilipotoa laki 2 na nusu ndani ya wiki 2 nikapata bila shida. Ukweli ndiyo huo.
 
Asante sana kwa Info,hata mimi niko mkoani (Arusha)
 
Miaka kadhaa nyuma nilienda Uhamiaji,nikaona wananizungusha sana,ndio maana kwa sasa nikaona ni bora nitafute mtu wa kunisaidia fasta.
 
Finger print unafanya mbele ya afisa uhamiaji sasa wataka aje nyumbani au?
Inaeleweka finger print lazima niende ofisi ya Uhamiaji,sasa hayo ya afisa uhamiaji kuja nyumbani kwangu yametoka wapi.? Sio kila kitu lazima ucomment japokuwa una ruhusiwa na akili yako..Any way nimeona comment yako..!@!
 
Mbona process haichukii siku nzima? Mkilizwa mnakuja na vijithread wakati mambo mengine unayasabisha mwenyewe. The fact kuwa hutaki kubadilisha ina maana hujawahi kuwa na passport, omba uelekezwe badala ya kufanyiwa. Eti ubusy......my azz....
Asante kwa kuandika nimeisoma na nimeielewa.!@!
 
Wewe unataka sh ngapi.?? na kwa muda gani utakamilisha hiyo kazi..???

Toa laki na nusu,cha msingi finger print unaweza ukaiscan ukanitumia kwenye email ndani ya masaa 24 utakuwa ushapata passport yako,tayarisha na pix kama ulivyoambiwa!
 
Toa laki na nusu,cha msingi finger print unaweza ukaiscan ukanitumia kwenye email ndani ya masaa 24 utakuwa ushapata passport yako,tayarisha na pix kama ulivyoambiwa!

na mimi nataka ku-renew yangu process ni the same?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…