Mm nimemnunulia wife ni nzr lkn hazitaki dharubu jist for town na kwa matumizi ya mwanaume inachoka mapema. But i like it coz mafuta inakula vzr snaa nikimuekea full na yy ni housewife muda mwngi yupo home basi ni week 3 .
Tatizo mmejiwekea notion ya kudharaulika ila sidhani kama watu wana wadharau...
Halafu mwanaume ujue kuchagua rangi ya gari, utakuta mzee mzima unaendesha passo nyekundu...
Tatizo mmejiwekea notion ya kudharaulika ila sidhani kama watu wana wadharau...
Halafu mwanaume ujue kuchagua rangi ya gari, utakuta mzee mzima unaendesha passo nyekundu...
CRDB wanatoa Passo 1 kwa mwezi wakati wenzao Airtel walikuwa wanatoa IST kila siku, acheni kudhalilisha wateja wenu nyie CRDB yaani katika gari zote mmeona Passo nayo gari tena Passo 1 kwa mwezi