Either ajenge nyumba au awekeze kwenye T bonds za miaka 25
Nunua solana ,cardano,eth,bnb Kisha kaa miaka miwiliUna mshauri nini muajiriwa aweze kutengeneza passive income?, endapo yeye ana mtaji ila kunzisha na kusimamia biashara hawezi na mtaji anao?
Ipi ni risk kubwa zaidi kuanzisha biashara ambayo hawezi simamia au ku invest in low return businesses kama T/bills, T/bonds au FD accounts.
Asking for a friend. Kwa mahesabu anaweza ku make up to 15M from T/bonds or FD accounts.
Let's say ana 100M kwenye account yake nadhani kujenga nyumba ni sawa na kufukia 100m. Of course after 25 years nyumba ile haitakua tena na thamani ya 100M ila naona kama ni vyema kuweka atleast kwenye T bonds za 10 years or 20 years.
Bora anunue hatifungani, let's say kwa kila shilingi 100 akinunua kwa face value, aki bid akipata kwa shilingi 97 au 98 ina maana katika milioni 100 atalipa milioni 97 au 98, kwa miaka 15 au 20 atapata faida kubwa sana, kwa interest ya 16% maana yake kila mwaka atapata shilingi milioni 16 ( milioni 8 kila baada ya miezi 6 ) wakati huo huo bado bond zake zinaendelea ku mature.