ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Mmeamkaje wana Chit Chat....
Mtajwa hapo juu huwa napishana naye humu jamvini, nikimuangalia sana naona anafanana na familia yetu, kuanzia muondoko, haiba zake na hata rangi rangi yake.....
Sasa hapa nawauliza wazazi wetu daddy watu8 na mummy measkron huyu binti ni ndugu yetu?? mbona hamtuweki wazi??
Nakala kwa my sis sweetlady, WiseLady, cousin ladyfurahia na wanafamilia wote....
Sikukuu njema wadau......
Daddy atakuwa kesha shamba huyu..... Ila akirudi lazima atapitia hapa!!!
​owk!m waitng sisy!!Daddy atakuwa kesha shamba huyu..... Ila akirudi lazima atapitia hapa!!!
​hellow swt sisy!!Best umefanya jambo la muhimu sana kumuliza daddy maana inabidi ujue na tuweze kujilist watoto na familia nzima ya malady humu ndani sio tunaanza kutafuta wakati ushapita
Nasikia natafutwa huku...
Daddy atakuwa kesha shamba huyu..... Ila akirudi lazima atapitia hapa!!!
Angalia lkn passion lady uliyoyafanya usije kuyajutia lkn ni mtazamo wangu tu.
unatafutwa kweli
Mmeamkaje wana Chit Chat....
Mtajwa hapo juu huwa napishana naye humu jamvini, nikimuangalia sana naona anafanana na familia yetu, kuanzia muondoko, haiba zake na hata rangi rangi yake.....
Sasa hapa nawauliza wazazi wetu daddy watu8 na mummy measkron huyu binti ni ndugu yetu?? mbona hamtuweki wazi??
Nakala kwa my sis sweetlady, WiseLady, cousin ladyfurahia na wanafamilia wote....
Sikukuu njema wadau......
Mbona sasa nipo TA kaka mkubwa...
Sasa mimi nitakutumia ngumi jiwe uhangaike naye mpaka 40 yako ipite.
Jumapili njema!
Mbona sasa nipo TA kaka mkubwa...
Nasikia natafutwa huku...
hahaha. We Toto umerudi ?