Hello members, naulizia ni wapi (Dsm) naweza kupata pasi za Phillips ambazo ni made in Singapore? Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa kariakoo naona zipo za Indonesia tu.
Hahaha hiyo tumia mwenyewe tuView attachment 634811eleweka nikuuzie yangu vyuma vimekaza
Hello members, naulizia ni wapi (Dsm) naweza kupata pasi za Phillips ambazo ni made in Singapore? Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa kariakoo naona zipo za Indonesia tu.
Duu pasi kama lile mashine la kushindiliaView attachment 634811eleweka nikuuzie yangu vyuma vimekaza
Nenda duka linalouza vifaa vya radio mwambie akupe themomiter ya philips zipo kibao madukani mbonaNinayo ya Indonesia ila imeharibika switch ya kupunguza na kuongeza moto. Sjuh wap naweza kuipata
Asante sana.Nenda duka linalouza vifaa vya radio mwambie akupe themomiter ya philips zipo kibao madukani mbona
Ukikosa dukani nenda kwa mafundi radio utapata usedAsante sana.
Dukan zna range bei gan?Ukikosa dukani nenda kwa mafundi radio utapata used
Duu pasi kama lile mashine la kushindilia
Tena kama ni gari, hiyo itakua bitto. Namshauri aagizie Zanzibar, kule zinapatikana sana, mitaa ya michenzani.Duu pasi kama lile mashine la kushindilia
no thermostat, sio thermomitaAsante sana.
2000w bei ya mpya 16000Dukan zna range bei gan?
Alafu pale mwanzo kabla sijaitizama vizuri mi nilidhani ni yale mashine ya kukatia tylisTena kama ni gari, hiyo itakua bitto. Namshauri aagizie Zanzibar, kule zinapatikana sana, mitaa ya michenzani.
