Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
hakuna kuhojiwa wapeane sumu huko ahojiwe mwingine
Mkuu Ntambaswala, bado nasubiria kuhojiwa na nitatoa ushirikiano!.Kutokana na mwenendo wa huyu Pasco nimelazimika kumuanzishia uzi maalumu. Kwa tunaojua kusoma katikati ya mstari nimebaini kuwa Pasco anajua full stori ya Mwekyembe kupewa sumu. Na yupo hapa JF kupoteza lengo na kupotosha umma wa Watanzania. Hivi yeye alijua lini Mwakyembe aliwekewa hiyo sabuni na kitambaa na kuwa wakati huo Mwakyembe alikuwa anatumia dawa? Kwahiyo huo ulikuwa mpango kabambe ulionaandaliwa vizuri ili hata hapo baadaye ije asemwe aaah si alikuwa anaumwa...... Ndo maana Pasco kakomaa kuwa Mwakyembe alikuwa anaumwa, hata kama alikuwa naumwa haiondoi ukweli kuwa kapewa sumu.
Kwahiyo Pasco anajua hata siku aliyowekea Mwakyembe hiyo sabuni na kitaulo, anajua hata siku hiyo Mwakyembe alikuwa anmeza dawa gani? jamani hamuoni kuwa Pasco anaweza kusaidia upepelezi au ni mimi naliona hili? Kuandika kwako sana Pasco kumekuponza, hili unalo............
Hebu soma kwa makini maneno haya ya Pasco: Mimi binafsi bado nasimama na taarifa ya DCI Manumba!.
Kuna kitu kinaitwa "sensionalism" na vifo vya "amazing coincidence"
Kutokana na mwenendo wa huyu Pasco nimelazimika kumuanzishia uzi maalumu. Kwa tunaojua kusoma katikati ya mstari nimebaini kuwa Pasco anajua full stori ya Mwekyembe kupewa sumu. Na yupo hapa JF kupoteza lengo na kupotosha umma wa Watanzania. Hivi yeye alijua lini Mwakyembe aliwekewa hiyo sabuni na kitambaa na kuwa wakati huo Mwakyembe alikuwa anatumia dawa? Kwahiyo huo ulikuwa mpango kabambe ulionaandaliwa vizuri ili hata hapo baadaye ije asemwe aaah si alikuwa anaumwa...... Ndo maana Pasco kakomaa kuwa Mwakyembe alikuwa anaumwa, hata kama alikuwa naumwa haiondoi ukweli kuwa kapewa sumu.
Kwahiyo Pasco anajua hata siku aliyowekea Mwakyembe hiyo sabuni na kitaulo, anajua hata siku hiyo Mwakyembe alikuwa anmeza dawa gani? jamani hamuoni kuwa Pasco anaweza kusaidia upepelezi au ni mimi naliona hili? Kuandika kwako sana Pasco kumekuponza, hili unalo............
Hebu soma kwa makini maneno haya ya Pasco: Mimi binafsi bado nasimama na taarifa ya DCI Manumba!.
Kuna kitu kinaitwa "sensionalism" na vifo vya "amazing coincidence"
Akiwa Kyela leo, rais Magufuli amethibitisha Dr. Mwakyembe alitiliwa sumu. Tangu kuibuka kwa kadhia ya sumu ya Mwakyembe, hii ndio kauli from the highest authorities kuwa Mwakyembe alitiliwa sumu. Kutiliwa sumu ni criminal offence ya attempted murder, kama rais anathibitisha Waziri wake alitiliwa sumu na wahusika anawajua na hakuna sio aliyekamatwa, bali aliyehojiwa!, what are the chances kwa wasiojulikana wa Shambulio la Lissu ambao hawajulikani kabisa?.Mkuu Mchambuzi, nimependa unavyochambua, ki ukweli unazama deep!.
Nimeupitia uchambuzi wako kuna kitu sijakiona ukikizungumza kuhusu sumu.
Kuna sumu za aina tatu,
1. Intentions or delibarate poisoning, hii ndio ile dhana ya mtu kulishwa sumu, kutiliwa, kushikishwa au hata kutumiwa kwa barua kama 'anthrax', hii ni mtu kupewa sumu be it first poisoning or slow poisoning ila mwisho wa siku mhusika hudhurika!.
2. Food poisoning, hii ni aina ya pili ya sumu ambayo hutokana na kula chakula chenye sumu, mfano kuna baadhi ya mihogo ina sumu, uyoga, na baadhi vya vyakula vya proteion in nature kama nyama, samaki, maziwa, mayai etc ambapo aliyekula vinamdhuru ama instantly kwa kupata rushes, kuwashwa au kupata mafindofindo wanaita 'alergy' au slow reaction ambapo inaibuka baada ya kipindi kirefu na ineweza kuibuka kama kansa etc!.
3. Medical Reaction, japo sumu zote ni chemical reaction, hii sumu ya medical reaction ni sumu inayotokana na reaction ya madawa fulani fulani kwenye mwili wa binadamu mostly kutokana na prolonged use!. Hii humpata mtu ambaye kuna kitu ameugua na ni ugonjwa wa muda mrefu, mtu huyo anakuwa anatumia combination ya madawa fulani kwa muda mrefu imefikia muda madawa hayo yamereact from each other na kugeuka sumu na wakati huo huo mwili unakuwa umetengeza 'antigen' za kukabiliana na hiyo reaction na matokeo huwa ndiyo kama hiyo hali ya Mwakiyembe!.
Wanabodi nilishauri huko nyuma na hapa nashauri tena, tupunguze conspiracy theories tusubiri tamko la Mwakiyembe mwenyewe!.
Japo naye ili kumlindia Sitta heshima, anaweza kusema "Nimesha Muachia Mungu, hivyo naomba nisizungumze chochote"! hivyo kutosema anaumwa nini!.
Naona kaka mkubwa Paskali umefukua makaburi; safi sana. Ila huyu Pasco, The boss, Mamdenyi, wako wapi hawa watu? I miss them too much ooh!Akiwa Kyela leo, rais Magufuli amethibitisha Dr. Mwakyembe alitiliwa sumu. Tangu kuibuka kwa kadhia ya sumu ya Mwakyembe, hii ndio kauli from the highest authorities kuwa Mwakyembe alitiliwa sumu. Kutiliwa sumu ni criminal offence ya attempted murder, kama rais anathibitisha Waziri wake alitiliwa sumu na wahusika anawajua na hakuna sio aliyekamatwa, bali aliyehojiwa!, what are the chances kwa wasiojulikana wa Shambulio la Lissu ambao hawajulikani kabisa?.
Hivi katika hili sakata la sumu ya Mwakyembe, iliwahi kuthibitishwa na authorities zozote kuwa ni kweli Mwakyembe alitiliwa sumu, au uthibitisho ndio huu wa leo wa rais Magufuli?.
P.
Mkuu Mazindu Msambule, watu wote hao wapo, ila familia ya jf imekuwa kubwa sana, zamani ilikuwa daily or weekly kukutana na mabandiko ya ma GT wa JF kama kina Mzee Mwanakijiji, lakini siku hizi ni nadra kufutia hoja kupanda kila dakika.Naona kaka mkubwa Paskali umefukua makaburi; safi sana. Ila huyu Pasco, The boss, Mamdenyi, wako wapi hawa watu? I miss them too much ooh!
Understood brother though hapo kwa mwanakijiji sidhani kama anaangukia kwenye hiyo sababu ulioisema; mwanakijiji kabadiri mahaba, amekua sio mtu wa facts tena so inamuia ngumu sana kuinganisha dots ili aandike kwa kumtetea mtu. Elewa hivi Pascal, mtu aliye wahi kujijengea jina la kua GT ni ngumu sana kwake huyo huyo kuitetea YANGA ya Lumumba, ngumu sana cause unaowaandikia na wenyewe wanayo macho na masikio!Mkuu Mazindu Msambule, watu wote hao wapo, ila familia ya jf imekuwa kubwa sana, zamani ilikuwa daily or weekly kukutana na mabandiko ya ma GT wa JF kama kina Mzee Mwanakijiji, lakini siku hizi ni nadra kufutia hoja kupanda kila dakika.
P
Kweli hii ni Fact ninachoona mm itakuwa haya mambo uchunguzi yana force behind ili yafanyike kwasababu haiwezekani Waziri wa Sheria awekewe Sumu Serikali itumie hela nyingi Kumtibia Nje ya Nchi Kisha Serikali hiyohiyo ishindwe kufanya Uchunguzi wa Nani aliyemuekea Sumu ?Akiwa Kyela leo, rais Magufuli amethibitisha Dr. Mwakyembe alitiliwa sumu. Tangu kuibuka kwa kadhia ya sumu ya Mwakyembe, hii ndio kauli from the highest authorities kuwa Mwakyembe alitiliwa sumu. Kutiliwa sumu ni criminal offence ya attempted murder, kama rais anathibitisha Waziri wake alitiliwa sumu na wahusika anawajua na hakuna sio aliyekamatwa, bali aliyehojiwa!, what are the chances kwa wasiojulikana wa Shambulio la Lissu ambao hawajulikani kabisa?.
Hivi katika hili sakata la sumu ya Mwakyembe, iliwahi kuthibitishwa na authorities zozote kuwa ni kweli Mwakyembe alitiliwa sumu, au uthibitisho ndio huu wa leo wa rais Magufuli?.
Kama Rais Magufuli amethibitisha Mwakyembe alitiliwa sumu. Uthibitisho huu unathibitisha Jeshi letu la polisi ni hopeless kwenye solving serious crimes kama hii, kama aliyetendwa hivi ni waziri na yuko serikalini, na alikuwa waziri wa sheria, DPP yuko chini yake, hawakuweza kuchunguza tukio hili, what are the chances kwa uchunguzi wa tukio la Lissu?.
P.
kuna watu humu
Wanatumwa...
Wanapeleleza..
Mamliki...hawaJITAMBUI
Wanapima upepo..
Wapambe...
Ni washawasha...ukigusa umewashwa,umevimba...etc
Mkuu Ntambaswala, bado nasubiria kuhojiwa na nitatoa ushirikiano!.