PASCO wa JF ahojiwe kuhusu sumu ya Mwakyembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PASCO wa JF ahojiwe kuhusu sumu ya Mwakyembe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ntambaswala, Feb 29, 2012.

 1. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kutokana na mwenendo wa huyu Pasco nimelazimika kumuanzishia uzi maalumu. Kwa tunaojua kusoma katikati ya mstari nimebaini kuwa Pasco anajua full stori ya Mwekyembe kupewa sumu. Na yupo hapa JF kupoteza lengo na kupotosha umma wa Watanzania. Hivi yeye alijua lini Mwakyembe aliwekewa hiyo sabuni na kitambaa na kuwa wakati huo Mwakyembe alikuwa anatumia dawa? Kwahiyo huo ulikuwa mpango kabambe ulionaandaliwa vizuri ili hata hapo baadaye ije asemwe aaah si alikuwa anaumwa...... Ndo maana Pasco kakomaa kuwa Mwakyembe alikuwa anaumwa, hata kama alikuwa naumwa haiondoi ukweli kuwa kapewa sumu.

  Kwahiyo Pasco anajua hata siku aliyowekea Mwakyembe hiyo sabuni na kitaulo, anajua hata siku hiyo Mwakyembe alikuwa anmeza dawa gani? jamani hamuoni kuwa Pasco anaweza kusaidia upepelezi au ni mimi naliona hili? Kuandika kwako sana Pasco kumekuponza, hili unalo............

  Hebu soma kwa makini maneno haya ya Pasco:
  Mimi binafsi bado nasimama na taarifa ya DCI Manumba!.

  Kuna kitu kinaitwa "sensionalism" na vifo vya "amazing coincidence"
   
 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  usianze kuwa polisi ndani ya JF humu watu wanaongea huru pasipo hofu ya kuhojiwa
   
 3. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Utaambulia patupu mkubwa!
   
 4. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Issue ya Mwakyembe ni sensitive, hata SItta ushahidi wa mwanzo aliutoa hapa JF
   
 5. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Pamoja na kwamba JF hatuhitaji Polisi lkn hoja ya mdau ina make sense. Ebu soma hapo palipopigiwa mstari. Hata mimi naamini kwamba PASCO anafahamu zaidi katika hili la Dr. Mwakyembe kupewa sumu.
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...inawezekana yeye ndiye aliuleta JF!
   
 7. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ah, umeonaee! hata mm niliposoma ile post yake nishtuka kdg. Pasco! una neno
   
 8. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wapi Pasco?
   
 9. papason

  papason JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Ntambaswala!
  Wamagamba wamekulipa shilingi ngapi kuja kutishia tishia member wa JF?
  Sasa ni hivi toka berenge kabla hatujaanza kukushushia kipondo cha mbwa mwizi!
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  "Pasco lowassa" is a disaster here kila wakati nasema;kuna kitu angekipata kama lowassa angefanikiwa kuwa mgombea wa urais wa ccm kabla ya hii juzi ccm kuingia kwenye bajaji yake na kufunga breki zake kwa nguvu..kupitia mabadiliko ya katiba ya ccm ya jinsi ya kuwapata wajumbe wa vikao muhimu vya chama..!

  mwanzoni wafuasi watiifu wa chama cha "vinega' wengi wenu hamkumuelewa mlidhani ni kinega mwenzenu mko nae pamoja kucheza ngoma ya mgombea wa chama cha "vinega" bwana slaa.kumbe mwenzenu alikua anawachezesha ngoma msioiujua ngoma ya lowassa.....
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  kuna watu humu
  Wanatumwa...
  Wanapeleleza..
  Mamliki...hawaJITAMBUI
  Wanapima upepo..
  Wapambe...
  Ni washawasha...ukigusa umewashwa,umevimba...etc
   
 12. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Anza na Samwel Sitta ndio uende kwa Pasco
   
 13. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Chunga sana maneno aliyosema huyu waziri wenu wa mambo ya ndani..... eti hili suala ni sensitive na linafanyiwa uchunguzi wa kisayansi. Huu uchunguzi anaosema ni baada ya kuupiga danadana za muda mrefu huku akimtishia Sitta na kudai 'apelekewe' ushahidi. Lakini mtu wangu wa usalama ameniambia kuna mpango mpya umepangwa wa namna ya kuhitimisha hili suala huku Mwakyembe akionekana mwongo na mzushi.
   
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  PASCO yupo chini ya uchunguzi maalumu, kitaeleweka tu
   
 15. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huwezi pata majibu zaidi ya kupigwa siasa.
  Genge la Lowassa ni mafia
  OTIS
   
 16. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,541
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Naona una matatizo makubwa sana . Ingekuwa ni hivyo kila mtu angekamatwa . Wa kwanza angeku HUTAKI UNAACHA . Acha mawazo finyu.
   
 17. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Someone said it here sometime ago that Pasco is a SNITCH!!!! Yumo humu kwa kazi maalum na kuwepo kwake karibu na INVISIBLE is not good to JF's health!!
   
 18. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 1,998
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  To hell with Pasco......there are so many like him here but who cares? JF is Rollin Hot daily........
   
 19. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 1,998
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  Jason Bourne? where u at Hommie?
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  labda yuko bize anagawa bahasha atakuja kujibu hoja zote hapa
  huenda ana siri nzito ya hao wanaomtuma kugawa bahasha pia.
   
Loading...