My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Wacheze na vyote, Twitter ni habari nyingine waiache Kama ilivyoTwitter ndio kitu kinachowaumiza kichwa maana hawajui waidhibiti vip
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Zamani kweli, lakini sasa ameamua kujilipua ni mpiga zumari mzuri tu.Kama utasoma mada za Pascal Mayala mara nyingi huwa za kimafumbo(utadhani ana support kumbe kinyume chake). Msome ukiwa umeshiba lakini ukiwa na njaa hutaweza kumuelewa.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Twitter mtandao wa kimarekani huo, unatusaidia sana katika suala la Uhuru wakupata habari.Twitter ndio kitu kinachowaumiza kichwa maana hawajui waidhibiti vip
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji23] Uko pande hiziTwitter mtandao wa kimarekani huo, unatusaidia sana katika suala la Uhuru wakupata habari.
Twitter inasaidia sana, au unasemaje mkuu?
Ujumbe wa nguvu sana! Pascal Mayalla Pascal alikuwa na staha, lkn njaa ya kuteuliwa, madaraka kutoka homeboy.... amefika hapa alipo. Lkn ajue hata Nkurunzinza leo anaogelea kwa damu ya aliowauaNjaa ya kuonekana na mtawala inadhalilisha hata wale waliokuwa na staha mbele ya jamii.
Airtime kama hiyo ni fursa kwa Magufuli kumuona, that was a calculated move! Pascal MayallaCCM na Tiss na Polisi wameshindwa kumpata Kigogo2014 Sasa kwa aibu wanataka kuleta hoja za kibwege za kuifungia Twitter.
PASKALI Pascal Mayalla Yale aliyoyasema hakuyasema kwa utashi wake, ametumwa. Siwezi na sitoamini kuwa pascal anaweza kuwa na mawazo ya kale namna hiyo