Paschal Mayalla simama upande wa haki au heri ukae kimya

Superhuman 1995

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
1,869
Reaction score
3,135
Paschal Mayalla,wewe ni mzee,lakini tumia Hekima na busara uliyonayo,damu ya watanzania iliyomwagika itakulaani kizazi chako chote,kwa kusimama na wadhalimu,heri kuwa kimya kuliko kuongea na kusimama upande wa wadhalimu,

Nakuomba mzee wangu malizia uzee wako kwa hekima,Duniani hakuna kilicho chenye pumzi kitadumu milele maana sote tutakufa,japo vifo vyetu vitatukumba kwa Mikasa tofauti tofauti,lakini heri kusimama katika haki maana ni heshima ya milele na utatengeneza kitabu cha historia nzuri na ya hekima pia utaishi mioyoni mwa watu waliyo Hai milele na milele ijapokuwa katika kipindi hicho ni mfu wa millenia.
 
Huyu alishughulikiwa kipindi cha Magu akarudisha mpira kwa kipa.... tokea kipindi hiko amesimama na msimamo "He has family to feed not community to impress"....

Alipitishwa kaa la moto akakoma...
 
Paschal Mayalla,wewe ni mzee,lakini tumia Hekima na busara uliyonayo,damu ya watanzania iliyomwagika itakulaani kizazi chako chote,kwa kusimama na wadhalimu,heri kuwa kimya kuliko kuongea na kusimama upande wa wadhalimu,

Nakuomba mzee wangu malizia uzee wako kwa hekima,Duniani hakuna kilicho chenye pumzi kitadumu milele maana sote tutakufa,japo vifo vyetu vitatukumba kwa Mikasa tofauti tofauti,lakini heri kusimama katika haki maana ni heshima ya milele na utatengeneza kitabu cha historia nzuri na ya hekima pia utaishi mioyoni mwa watu waliyo Hai milele na milele ijapokuwa katika kipindi hicho ni mfu wa millenia.
Pascal Mayalla niwaona huko marekano ma Latinos kwenye maandamano ya mama..

Mkuu hizo pesa hembu tuambie ni mfuko gani mnazitoa...
 
Paschal Mayalla,wewe ni mzee,lakini tumia Hekima na busara uliyonayo,damu ya watanzania iliyomwagika itakulaani kizazi chako chote,kwa kusimama na wadhalimu,heri kuwa kimya kuliko kuongea na kusimama upande wa wadhalimu,

Nakuomba mzee wangu malizia uzee wako kwa hekima,Duniani hakuna kilicho chenye pumzi kitadumu milele maana sote tutakufa,japo vifo vyetu vitatukumba kwa Mikasa tofauti tofauti,lakini heri kusimama katika haki maana ni heshima ya milele na utatengeneza kitabu cha historia nzuri na ya hekima pia utaishi mioyoni mwa watu waliyo Hai milele na milele ijapokuwa katika kipindi hicho ni mfu wa millenia.
Sijui kama atakuelewa hasa wakati huu ambapo ashastaafu na anatafuta ka kitu ka kumalizia maisha nako.
 
Mwanzo Mayalla alikuwa anawinda teuzi lakini kwa sasa anaogopa sana kutekwa😂
Na huo ndio ukweli, ukisoma maandiko yake hayaeleweki kama sigara nyota, hujui wapi ni mbele wapi ni nyuma. Ukweli anaujua na upande sahihi anaujua vyema sana.

Anaogopa kutekwa, hilo ndilo jibu sahihi, muacheni mzee wa watu alee wajukuu zake kwa amani.
 
Sijui walimfanya nini hawa CCMi?

Enzi za ujana wake alikuwa akiwakaanga vizuri vigogo wa serikali DTV, bila woga, kwenye kile kipindi chake cha kitimoto.

Wazee walimuogopa, wananchi walimpenda, kiasi cha kumuita mdudu, kitimoto.
 
Anajua kuwa lifespan ya mwanaharakati aliyeko ndani ya Bongo country ni ndogo sana.
Anatamani kufunguka kuzungumza ukweli na kufuata kanuni , miiko na taratibu za uandishi wa habari, lakini kila akiwaza kuhusu kubanwa kende na plaizi, mzee wa watu inabidi aandike vitu ambayo hadi sasa sijajua yupo upande gani... inasikitisha sana..

Uandishi wa habari si kazi ya mchezo, inabidi ujitoe.
 
Na huo ndio ukweli, ukisoma maandiko yake hayaeleweki kama sigara nyota, hujui wapi ni mbele wapi ni nyuma. Ukweli anaujua na upande sahihi anaujua vyema sana.

Anaogopa kutekwa, hilo ndilo jibu sahihi, muacheni mzee wa watu alee wajukuu zake kwa amani.
Mjini pagumu bwashe uteuzi unasakwa kwa udi na uvumba
 
Huyu jamaa katapikwa na pande zote sababu yupoyupo kama kitumbua... Haeleweki nyuma wala mbele alafu bahati mbaya zaidi anajiona yupo sawa.
Hawa wazee wapumzike tu, mzee mwenzake Mohamed Said ameamua ku deal na historia ya uislamu katika mchango wa kupambania uhuru Tanganyika.

Mayalla nae atumie ujuzi wake katika uandishi kuandika mambo mengine yasiyohusu zaidi siasa, maana watu hawamuelewi.

Mambo ya siasa awaachie kina Lissu na vijana wa sasa ambao ni majasiri.
 
Back
Top Bottom