Paschal Mayala: CHADEMA wajishushe, wakubali maridhiano

Paschal Mayala: CHADEMA wajishushe, wakubali maridhiano

giphy.gif
 
Hakuna kipya kwa Pascal, yeye always atatafuta jinsi ya kuwalaumu na kuwakosoa CHADEMA.
Itokee siku aseme bila kupepesa macho kwamba CCM ndio kansa nchini. Baada ya Mbowe kutungiwa kesi ya ugaidi alipotolewa gerezani na baadae maridhiano yaliyoongozwa na Kinana mwishowe CCM walikataa kila kitu wakajipanga kuiba chaguzi zilizofuata na wakaiba!

Awaambie CCM waache utekaji, kutumia polisi na mahakama na msajili dhidi ya CHADEMA. Kwa unafiki tushamzoea
 
Back
Top Bottom