Pasco anadai hana chama.Nyote kwenye uzi huu, mnaosema haumumuelewi Pascal. Jee mnamuelewa yericko, Salaryslip, Fatma Karume, Olesosopi, Marai Sarungi na ofcourse KIGOGO,basi kama hao wote mnawaelewa, basi mjui nyinyi ni wanafiki msiokuwa na ukweli wowote, Pascal ni mtu anayeunga mkono siasa za CCM, kama hao niliowataja wanavyo shabikia upinzani CDM ama ACT. Nyie mnaomuona anachumia tumbo lake ni kwa sababu haungi mkono vyama venu na siasa za viongoziwa vyama vyenu.
Pascal huwa kuna wakati anakoswa kama wanadamu wenzake, lakini ni mwandishi makini sana na mwenye hoja zenye mashiko, sio mtukanaji au mropokaji kama kina Bi Fatma na kigogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaboa kweli wala hata sikuizi sisomi mabandiko yake hana tofauti na gazeti la uhuruPaskali ni mjinga, anaamini ana akili sana kuliko wengine, mabandiko yake yanaboa
Duh, ndugu silipwi mimi, Alhamdulilah mimi ndio nalipa, mungu kanipa uwezo huo. Nyinyi mnavyo shabikia mkipendacho mnalipwa?????Sikujua kama pascal ana wapambe , anakulipa bei gani mkuu ?
Paschal nimeona tuhuma zako ukituhumu comment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.
Ulimtukana Magufuli 2014 leo unataka akupe kazi? Ulikula pesa kiasi gani za Lowassa 2010- 2015?
Unaendekeza ukabila unaacha kusema ukweli kisa kutafuta cheo kwa Magufuli?
Shetani ni wale wote wanasapoti mauaji, utekaji na kuzuia uhuru wa wengine kukosoa viongozi wao na nakuhakikishia hautapewa hata ubalozi wa nyumba kumi.
Siogopi chote na sina njaa ya pesa wala ya chochote kama ulivyo wewe naomba uache uchonganishi, ukabila na njaa.
Achana na watu, deal na mambo yako.
Wewe ni kanjanja tu, tena mwoga kama kunguru!
Sasa kama unataka kushindana na Mayala weka jina lako halisi hapa JF kama mwenzio alivyofanya.
Huwa nashangaa sana mtu unatumia id fake umejificha kwenye keybord halafu una ropoka hovyo wakati huna ujasiri wowote hata wa kubeba jiwe kwenda nalo barabarani.
Sent using Jamii Forums mobile app
technically, Mkuu hii thread yako inahusiana Nini na Corona[emoji40].
Ok ngoja nirudi kidogo kwenye mada namm nichangie kidogo... Hii issue inaonekana imekaa privately Sana kwasababu inaonekana kumbe mnajuana nje na ndani utaratibu Mzuri mngefuatana pm mkatajenga kiuanaume. Kufanya hivi siyo njia sahihi.
Tangu lini wanaume tumeanza pigo za kusema "Leo nakuanika hadharani" hizi Ni kauli za wanawake wa Pemba sana Sana.
ONYO; "Corona yaingia Tanzania tuchukue tahadhari" Ummy mwalimu.
Alaah kumbe kweli wewe Ni shetani Ulipata Wapi hisia za kuandika kuwa "Bora Corona ije tu Tanzania" halafu usikute na wewe Ni baba Mwenye familia ya Watoto. Sasa kwavile tayari ulichokiomba kishafika Tanzania naomba kikitoka kwa huyo mama kije kwenye familia yako. Ili uone namna ambavyo serikali itavyofanya investment kwenye Corona kama ulivyodai..
Muda mwingine muwe mnaacha maombi ya kijinga kisa uchumia Siasa.
Pascal M. Alikuwa sahihi kabisa kukulinganisha na shetan maana ulitoa mawazo ya kishetani kabisaa.
Usipomuunga mkono anaona unamchukia. Hata mimi niliamua kumu ignore kabisa.Mimi hapa kanipiga marufuku hatak nimquote, the issue was so small back then
Sasa nazidi kuon ni watu weng yuko nao same way
Mbaya ni kwamba I started to love her [emoji28]
Rebeca 83