Pascal ni mchumia tumbo, tumpuuze

Pascal ni mchumia tumbo, tumpuuze

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,554
Reaction score
57,848
Paschal nimeona tuhuma zako ukituhumu comment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.

Ulimtukana Magufuli 2014 leo unataka akupe kazi? Ulikula pesa kiasi gani za Lowassa 2010- 2015?

Unaendekeza ukabila unaacha kusema ukweli kisa kutafuta cheo kwa Magufuli?

Shetani ni wale wote wanasapoti mauaji, utekaji na kuzuia uhuru wa wengine kukosoa viongozi wao na nakuhakikishia hautapewa hata ubalozi wa nyumba kumi.

Siogopi chote na sina njaa ya pesa wala ya chochote kama ulivyo wewe naomba uache uchonganishi, ukabila na njaa.

Achana na watu, deal na mambo yako.
 
Pascal nimeona tuhuma zako ukituhumu coment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.
Huyu ni spent force, ukabila unamtesa hadi kwenye kizazi chake.
 
Pascal nimeona tuhuma zako ukituhumu coment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.

Ulimtukana Magufuli 2014 leo unataka akupe kazi?

Ulikula pesa kiasi gani za lowwasa 2010- 2015 ?

Unaendekeza ukabila unaacha kusema ukweli kisa kutafuta cheo kwa Magufuli?
Aaggh mambo yenyewe ndio hayo ya kula pesa sijui za nani, nikajua ishue nzito nzito.
 
Pascal nimeona tuhuma zako ukituhumu coment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.

Ulimtukana Magufuli 2014 leo unataka akupe kazi?

Ulikula pesa kiasi gani za lowwasa 2010- 2015 ?

Unaendekeza ukabila unaacha kusema ukweli kisa kutafuta cheo kwa Magufuli?

Nikwambie tu ukweli mimi ni baba yangu ni mkurya pure na mama yangu ni msukuma ila siwezi kumtetea magufuli kisa kabila la mama.

Siogopi chote na sina njaa ya pesa wala ya chochote kama ulivyo wewe naomba uache uchonganishi, ukabila na njaa.
Shetani ndio baba wa magonjwa hilo halina ubishi.

Pinganeni kwa hoja wakuu!
 
Back
Top Bottom