Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

SGR DAR MORO unasafirisha mzigo wa nani... acheni uzwazwa yaani nibebe mzigo wangu afu ushuke moro afu niubebe tena utafika lini kigoma? endeleeni tu na usanii wenu
Mtazamo wako ni mfupi, yaani unataka matokeo ya sasa hivi. Lakini tambua kuwa ujenzi wa miundombinu ni plan za muda mrefu ambazo matokeo yake huanza kuonekana wakati mwingine zaidi ya miaka 10.
 
we kubali tu wazazi walikosea kukupa hilo jina. kifupi mayala ni NJAA
Mkuu MWALLA, no hawajakosea!, Mayalla is not a given name, it's a sir name, unazaliwa unalikuta. Aliyekosea ni yule aliyesema Mayalla maana yake ni mwenye njaa badala ya mtu aliyezaliwa kipindi cha baa la njaa, hivyo kupelekea watu kuniita njaa!, na kauli nyingine zina nguvu, hivyo sasa njaa inanitembelea.
P
 
alafu HANGAYA nae amekupotezea yani njaa juu ya NZALA!
bro hivi ile tukutuku yako uliuza? maana sikuoni nayo :D :D
tutembeleane UMOJAHOUSE
 
Mtazamo wako ni mfupi, yaani unataka matokeo ya sasa hivi. Lakini tambua kuwa ujenzi wa miundombinu ni plan za muda mrefu ambazo matokeo yake huanza kuonekana wakati mwingine zaidi ya miaka 10.
BORA wewe kijana umesema ukweli lkn hawa wenzio bado vicchwa vimejaza uongo mtupu eti SGR kuanza kutumika 2020 haya leo ni lini?
 
Back
Top Bottom