Pascal Mayalla ni kinyonga, ana ndimi mbili?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,045
114,509
Mwanahabari Pasco yupo Star Tv Live Jicho Letu ndani ya Habari,anatetea sana Udikteta wa Dr.Tulia kuwa yupo sahihi.Vilevile anasema watu walizoea lugha ya kubembeleza sasa Magufuli anatumbua live watu wanachukia.Kifupi anapamba sana matamko wa kufokafoka yanayotelewa na Ngazi za Juu.Kinachoshangaza akija humu Jamiiforums jamaa anakemea udikteta na kusisitiza utawala wa sheria.Inakuweje mtu mmoja unakuwa na ndimi mbili

==============

Ufafanuzi

==============

Mkuu OKW BOBAN SUNZU, naomba kwanza nikurekebishe, aliyekuwepo Star TV Leo kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, ni mimi Paskali, ambaye ni mwana jf halisi, ninayetumia jina langu halisi na ni verified member. Pasco wa jf, ni member mwingine humu, japo tunafanana sana na majina yetu yamefana, wote ni waandishi, lakini ni watu wawili tofauti, naomba tuuheshimu huu utofauti ambao ni miongoni mwa haki za msingi za wana jf, kutumia majina yoyote bila kufananishwa na mtu yoyote hata kama unamfahamu fulani in reality ndie fulani, naomba tuendelee kuheshimiana kwenye majina.

Kwa faida ya wengi ambao hawakuweza kufuatilia kipindi hicho, mada kuu ilikuwa ni kuhusu kufukuzwa kwa wanafunzi 7000 wa Udom, kulikopelekea kuitwa wanafanya uchangudoa, udikiteta wa Naibu Spika, Dr. Tulia Akson kuzuia bunge lisijadili, na hatimaye funga kazi ya mjadala huo, iliyotolewa na Rais Magufuli kuwaita ni vilaza!. Na ukweli wa mambo wa vilaza kuja kuwa waalimu.

1. Kufukuzwa kwa Wanafunzi.

Nilisema kufukuzwa kule sii halali na hawakutendewa haki kupewa saa 24 as if ni wahalifu, wakati wanafunzi hao hawana
kosa lolote!. Walidahiliwa kihalali, wakajiunga UDOM kihalali, sababu ya kufukuzwa kwao ni waalimu wa UDOM kugomea
kuwafundisha bila kuongezwa posho, hivyo wanafunzi hao hawana makosa!.

2. Kuripotiwa kuwa wanafanya uchangudoa!.
Nilisema uchangudoa uko wa aina mbili, (a) Uchangudoa wa tabia (b) uchangudoa wa survival

(a)Uchangudoa wa tabia
Hufanywa na wanawake wowote wenye tabia hiyo, wawe ni wanachuo, walioko makazini na hadi wake za watu, wenye tabia hiyo, huitumia miili yao kama kitega uchumi, na huifanya biashara hii kwa choice na sio kwa sababu wanashida, hivyo miongoni mwa hao wanafunzi waliofukuzwa, wele wenye tabia hiyo, watapeleke bidhaa sokoni kwa sababu sasa wamepata sababu ya kuhalalisha biashara hiyo kwa kisingizio tumefukuzwa shule na hatuna jinsi
nyingine yoyote ya kupata pesa za nauli bali kujiuza kupata pesa ndipo warejee makwao.

(b) Uchangudoa wa survival!.
Hawa ni wale ambao hawana tabia tabia hii ya kujiuza, lakini wamefukuzwa shule, hawana hata senti tano, hawana
chakula, hawana pa kulala wala hawajui kesho itafikaje!, the only thing that they have is their bodies, hivyo kulazimika
kujiuza out of necessity kwa lengo tuu la kupata nauli au kuweza ku survive hadi kesho yake, hivyo kujikuta
wamelazika kuyafanya hayo kwa kuwa forced na circumstances na hapa nikatolea mfano hata wewe ukimfukuza binti
yako nyumbani ambaye ni tayari, akiwa hana popote pa kwenda, ili asubuhi ifike, atajikabidhi kwenye mikono yoyote
itakayompa hifadhi kwa usiku huo, na hizo huduma lazima atatoa kwa kupenda au bila kupenda!, hapa nikasisitiza
kuwa seikali kuwafukuza bila maandalizi ndio kumepelekea kuwa force mabinti zetu kufanya vitendo ambavyo sivyo,
hivyo wanafunzi hawa hawakutendewa haki!.

3. Udikiteta wa Naibu Spika, Dr. Tulia Ackson

Hapa nilisema Spika makini pekee alikuwa Spika Sitta tuu kwa sababu alikuwa anajua sheria, Spika Makinda na Spika Ndungai sio wanasheria, hivyo wapinzani mule bungeni, walizoea ku call the shots kwa kuwaonea sana sana, lakini Naibu Spika ni mwanasheria mbobezi ambaye anacheza by the rules, na kanuni zinamuhusu!, sasa anapotumia kanuni kuzuia mijadala to government advantage, ndipo sasa wapinzani wanalalamikia udikiteta!, hizo kanuni Tulia hakuzitunga yeye, amezikuta zimetungwa na wengine walikuwepo hawakuwahi kuzipinga, hivyo zikitumika ipasavyo ndipo sasa zinalalamikiwa!.
Wanachotakiwa kufanya wapinzani ni kuhakikisha zile kanuni zote za draconian zinafutwa ili bunge liendeshwe kwa logic na sio kwa first and hard rules, hivyo Dr. Tulia yuko right kutumia kanuni kuwabana wabunge vile anaona inafaa na kanuni zinamuhusu!.

4. Rais Magufuli Kuwaita Vilaza
Hapa nilisema wazi, kitendo cha rais Magufuli kuwaita wanafunzi wale ni vilaza, ni lugha ya maudhi kutumiwa na mkuu wa nchi!, ila nikasema naunga mkono matumizi ya lugha hiyo kwa sababu mimi ni muumini wa ukweli, ni kweli mwanafunzi yoyote aliyepata division 4 ni kilaza!, nikatolea mfano wa mwanafunzi fulani kilaza aliyeko UDOM ambaye anazungumzwa sana humu jf, ni zao la wazazi vilaza!.

Nikasema Magufuli yuko right, wanafunzi wale ni vilaza, ila walidahiliwa kwa sheria mahsusi ya kuruhusu vilaza kujiunga kozi ya ualimu, sheria ile ya elimu ya vilaza ilipitishwa na cabinet ambayo Magufuli alikuwemo hivyo ni cabinet yetu iliyotuletea sheria ya vilaza, hivyo cabnet ile ni cabnet ya vilaza, na kikubwa zaidi sheria hiyo ilipitishwa bunge letu, hivyo bunge nalo ni bunge la vilaza lililopitisha sheria ya elimu ya vilaza, na miongoni mwa wabunge walioipitisha sheria ile ni hao hao wapinzani waliomo bungeni.

Nikampongeza Magufuli kwa kuwa mkweli sana kuhusu hawa vilaza, pia nikampongeza kwa ukali wake katika utumbuaji majipu, nikasisitiza maadamu sheria ya vilaza hawa ilipitishwa wakati mkuu wa nchi sio yeye, ili kuonyesha anauchukia ukilaza toka ndani ya nafsi yake, yeye kama rais, asiishie kuwaita tuu wanafunzi wale vilaza, bali aitengue sheria ile ya vilaza iliyopitishwa na cabnet vilaza, na kupitishwa na bunge la vilaza ndipo ataokena kuitendea haki nchi hii na kuwatendea haki vilaza wale!.

5. Ukweli wa Mambo Wanafunzi Vilaza kuwa Waalimu.
Nia ya serikali kuleta sheria ya wanafunzi vilaza ilifanyika kwa nia njema, na haikuanza leo. Nikajitolea mfano mimi mwenyewe nilisoma primary enzi wa UPE. Hawa walikuwa ni waalimu waliofeli darasa la saba, lakini wanauwezo mkubwa hivyo walipigwa msasa wakawa waalimu wa darasa la 3,4 na la 5!.

Hawa wanafunzi wanaoitwa vilaza ni kweli baadhi yao wana div 4 lakini wamefanya vizuri masomo ya sayansi!. Walitafutwa ili wapikwe kuziba ombwe la uhaba wa walimu wa sayansi. Wanafunzi waliofanya vizuri masomo ya sayansi hawa time na ualimu, hivyo taifa liwatumie hata wanafunzi waliofeli lakini wamefanya vizuri masomo ya sayansi na hicho wanachosoma hapo UDOM ni Stashahada na sio shahada. Udom ilichaguliwa kuendesha kozi hiyo kwa sababu ndio pekee chenye uwezo huo. Vyuo vingi viliomba UDOM wakashinda.

Hivyo kuwaita wanafunzi hao ni vilaza sio kuwatendea haki, pamoja na ukilaza wao, kwenye masomo ya sayansi wangeweza kuokoa jahazi!. Hivyo nikashauri wanafunzi hawa watendewe haki.

Paskali.
 
Hivi uteuzi wa Ma DC ume
Mwanahabari Pasco yupo Star Tv Live Jicho Letu ndani ya Habari,anatetea sana Udikteta wa Dr.Tulia kuwa yupo sahihi.Vilevile anasema watu walizoea lugha ya kubembeleza sasa Magufuli anatumbua live watu wanachukia.Kifupi anapamba sana matamko wa kufokafoka yanayotelewa na Ngazi za Juu.Kinachoshangaza akija humu Jamiiforums jamaa anakemea udikteta na kusisitiza utawala wa sheria.Inakuweje mtu mmoja unakuwa na ndimi mbili

Hivi uteuzi WA Ma DC vipi?
 
Tatizo laka huwa akisemea humu jamvini huanza na kinachokufurahisha nawe hukenua meno mpaka unachanganyikiwa na pale anapoeleza hayo ambayo huyapendi huwa huyaoni athari zake kwa kuwa alianza kukuridhisha.
Wengine tunamjua hivyo alivyo na huwa tunampongeza na kumshambulia pia kwa nia ya kudhohofisha hoja yake kabisa au kuipunguza ukali wake. Nashangaa leo povu linakutoka.
 
Mwanahabari Pasco yupo Star Tv Live Jicho Letu ndani ya Habari,anatetea sana Udikteta wa Dr.Tulia kuwa yupo sahihi.Vilevile anasema watu walizoea lugha ya kubembeleza sasa Magufuli anatumbua live watu wanachukia.Kifupi anapamba sana matamko wa kufokafoka yanayotelewa na Ngazi za Juu.Kinachoshangaza akija humu Jamiiforums jamaa anakemea udikteta na kusisitiza utawala wa sheria.Inakuweje mtu mmoja unakuwa na ndimi mbili
Mkuu OKW BOBAN SUNZU, naomba kwanza nikurekebishe, aliyekuwepo Star TV Leo kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, ni mimi Paskali, ambaye ni mwana jf halisi, ninayetumia jina langu halisi na ni verified member. Pasco wa jf, ni member mwingine humu, japo tunafanana sana na majina yetu yamefana, wote ni waandishi, lakini ni watu wawili tofauti, naomba tuuheshimu huu utofauti ambao ni miongoni mwa haki za msingi za wana jf, kutumia majina yoyote bila kufananishwa na mtu yoyote hata kama unamfahamu fulani in reality ndie fulani, naomba tuendelee kuheshimiana kwenye majina.

Kwa faida ya wengi ambao hawakuweza kufuatilia kipindi hicho, mada kuu ilikuwa ni kuhusu kufukuzwa kwa wanafunzi 7000 wa Udom, kulikopelekea kuitwa wanafanya uchangudoa, udikiteta wa Naibu Spika, Dr. Tulia Akson kuzuia bunge lisijadili, na hatimaye funga kazi ya mjadala huo, iliyotolewa na Rais Magufuli kuwaita ni vilaza!. Na ukweli wa mambo wa vilaza kuja kuwa waalimu.

1. Kufukuzwa kwa Wanafunzi.

Nilisema kufukuzwa kule sii halali na hawakutendewa haki kupewa saa 24 as if ni wahalifu, wakati wanafunzi hao hawana
kosa lolote!. Walidahiliwa kihalali, wakajiunga UDOM kihalali, sababu ya kufukuzwa kwao ni waalimu wa UDOM kugomea
kuwafundisha bila kuongezwa posho, hivyo wanafunzi hao hawana makosa!.

2. Kuripotiwa kuwa wanafanya uchangudoa!.
Nilisema uchangudoa uko wa aina mbili, (a) Uchangudoa wa tabia (b) uchangudoa wa survival
(a)Uchangudoa wa tabia
Hufanywa na wanawake wowote wenye tabia hiyo, wawe ni wanachuo, walioko makazini na hadi
wake za watu, wenye tabia hiyo, huitumia miili yao kama kitega uchumi, na huifanya biashara hii kwa choice na sio kwa
sababu wanashida, hivyo miongoni mwa hao wanafunzi waliofukuzwa, wele wenye tabia hiyo, watapeleke bidhaa sokoni
kwa sababu sasa wamepata sababu ya kuhalalisha biashara hiyo kwa kisingizio tumefukuzwa shule na hatuna jinsi
nyingine yoyote ya kupata pesa za nauli bali kujiuza kupata pesa ndipo warejee makwao.

(b) Uchangudoa wa survival!.
Hawa ni wale ambao hawana tabia tabia hii ya kujiuza, lakini wamefukuzwa shule, hawana hata senti tano, hawana
chakula, hawana pa kulala wala hawajui kesho itafikaje!, the only thing that they have is their bodies, hivyo kulazimika
kujiuza out of necessity kwa lengo tuu la kupata nauli au kuweza ku survive hadi kesho yake, hivyo kujikuta
wamelazika kuyafanya hayo kwa kuwa forced na circumstances na hapa nikatolea mfano hata wewe ukimfukuza binti
yako nyumbani ambaye ni tayari, akiwa hana popote pa kwenda, ili asubuhi ifike, atajikabidhi kwenye mikono yoyote
itakayompa hifadhi kwa usiku huo, na hizo huduma lazima atatoa kwa kupenda au bila kupenda!, hapa nikasisitiza
kuwa seikali kuwafukuza bila maandalizi ndio kumepelekea kuwa force mabinti zetu kufanya vitendo ambavyo sivyo,
hivyo wanafunzi hawa hawakutendewa haki!.

3. Udikiteta wa Naibu Spika, Dr. Tulia Ackson

Hapa nilisema Spika makini pekee alikuwa Spika Sitta tuu kwa sababu alikuwa anajua sheria, Spika Makinda na Spika Ndungai sio wanasheria, hivyo wapinzani mule bungeni, walizoea ku call the shots kwa kuwaonea sana sana, lakini Naibu Spika ni mwanasheria mbobezi ambaye anacheza by the rules, na kanuni zinamuhusu!, sasa anapotumia kanuni kuzuia mijadala to government advantage, ndipo sasa wapinzani wanalalamikia udikiteta!, hizo kanuni Tulia hakuzitunga yeye, amezikuta zimetungwa na wengine walikuwepo hawakuwahi kuzipinga, hivyo zikitumika ipasavyo ndipo sasa zinalalamikiwa!.
Wanachotakiwa kufanya wapinzani ni kuhakikisha zile kanuni zote za draconian zinafutwa ili bunge liendeshwe kwa logic na sio kwa first and hard rules, hivyo Dr. Tulia yuko right kutumia kanuni kuwabana wabunge vile anaona inafaa na kanuni zinamuhusu!.

4. Rais Magufuli Kuwaita Vilaza
Hapa nilisema wazi, kitendo cha rais Magufuli kuwaita wanafunzi wale ni vilaza, ni lugha ya maudhi kutumiwa na mkuu wa nchi!, ila nikasema naunga mkono matumizi ya lugha hiyo kwa sababu mimi ni muumini wa ukweli, ni kweli mwanafunzi yoyote aliyepata division 4 ni kilaza!, nikatolea mfano wa mwanafunzi fulani kilaza aliyeko UDOM ambaye anazungumzwa sana humu jf, ni zao la wazazi vilaza!.

Nikasema Magufuli yuko right, wanafunzi wale ni vilaza, ila walidahiliwa kwa sheria mahsusi ya kuruhusu vilaza kujiunga kozi ya ualimu, sheria ile ya elimu ya vilaza ilipitishwa na cabinet ambayo Magufuli alikuwemo hivyo ni cabinet yetu iliyotuletea sheria ya vilaza, hivyo cabnet ile ni cabnet ya vilaza, na kikubwa zaidi sheria hiyo ilipitishwa bunge letu, hivyo bunge nalo ni bunge la vilaza lililopitisha sheria ya elimu ya vilaza, na miongoni mwa wabunge walioipitisha sheria ile ni hao hao wapinzani waliomo bungeni.

Nikampongeza Magufuli kwa kuwa mkweli sana kuhusu hawa vilaza, pia nikampongeza kwa ukali wake katika utumbuaji majipu, nikasisitiza maadamu sheria ya vilaza hawa ilipitishwa wakati mkuu wa nchi sio yeye, ili kuonyesha anauchukia ukilaza toka ndani ya nafsi yake, yeye kama rais, asiishie kuwaita tuu wanafunzi wale vilaza, bali aitengue sheria ile ya vilaza iliyopitishwa na cabnet vilaza, na kupitishwa na bunge la vilaza ndipo ataokena kuitendea haki nchi hii na kuwatendea haki vilaza wale!.

5. Ukweli wa Mambo Wanafunzi Vilaza kuwa Waalimu.
Nia ya serikali kuleta sheria ya wanafunzi vilaza ilifanyika kwa nia njema, na haikuanza leo. Nikajitolea mfano mimi mwenyewe nilisoma primary enzi wa UPE. Hawa walikuwa ni waalimu waliofeli darasa la saba, lakini wanauwezo mkubwa hivyo walipigwa msasa wakawa waalimu wa darasa la 3,4 na la 5!.

Hawa wanafunzi wanaoitwa vilaza ni kweli baadhi yao wana div 4 lakini wamefanya vizuri masomo ya sayansi!. Walitafutwa ili wapikwe kuziba ombwe la uhaba wa walimu wa sayansi. Wanafunzi waliofanya vizuri masomo ya sayansi hawa time na ualimu, hivyo taifa liwatumie hata wanafunzi waliofeli lakini wamefanya vizuri masomo ya sayansi na hicho wanachosoma hapo UDOM ni Stashahada na sio shahada. Udom ilichaguliwa kuendesha kozi hiyo kwa sababu ndio pekee chenye uwezo huo. Vyuo vingi viliomba UDOM wakashinda.

Hivyo kuwaita wanafunzi hao ni vilaza sio kuwatendea haki, pamoja na ukilaza wao, kwenye masomo ya sayansi wangeweza kuokoa jahazi!. Hivyo nikashauri wanafunzi hawa watendewe haki.

Paskali.
 
Mkuu OKW BOBAN SUNZU, naomba kwanza nikurekebishe, aliyekuwepo Star TV Leo kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, ni mimi Paskali, ambaye ni mwana jf halisi, ninayetumia jina langu halisi na ni verified member. Pasco wa jf, ni member mwingine humu, japo tunafanana sana na majina yetu yamefana, wote ni waandishi, lakini ni watu wawili tofauti, naomba tuuheshimu huu utofauti ambao ni miongoni mwa haki za msingi za wana jf, kutumia majina yoyote bila kufananishwa na mtu yoyote hata kama unamfahamu fulani in reality ndie fulani, naomba tuendelee kuheshimiana kwenye majina.

Kwa faida ya wengi ambao hawakuweza kufuatilia kipindi hicho, mada kuu ilikuwa ni kuhusu kufukuzwa kwa wanafunzi 7000 wa Udom, kulikopelekea kuitwa wanafanya uchangudoa, udikiteta wa Naibu Spika, Dr. Tulia Akson kuzuia bunge lisijadili, na hatimaye funga kazi ya mjadala huo, iliyotolewa na Rais Magufuli kuwaita ni vilaza!. Na ukweli wa mambo wa vilaza kuja kuwa waalimu.

1. Kufukuzwa kwa Wanafunzi.

Nilisema kufukuzwa kule sii halali na hawakutendewa haki kupewa saa 24 as if ni wahalifu, wakati wanafunzi hao hawana
kosa lolote!. Walidahiliwa kihalali, wakajiunga UDOM kihalali, sababu ya kufukuzwa kwao ni waalimu wa UDOM kugomea
kuwafundisha bila kuongezwa posho, hivyo wanafunzi hao hawana makosa!.

2. Kuripotiwa kuwa wanafanya uchangudoa!.
Nilisema uchangudoa uko wa aina mbili, (a) Uchangudoa wa tabia (b) uchangudoa wa survival
(a)Uchangudoa wa tabia
Hufanywa na wanawake wowote wenye tabia hiyo, wawe ni wanachuo, walioko makazini na hadi
wake za watu, wenye tabia hiyo, huitumia miili yao kama kitega uchumi, na huifanya biashara hii kwa choice na sio kwa
sababu wanashida, hivyo miongoni mwa hao wanafunzi waliofukuzwa, wele wenye tabia hiyo, watapeleke bidhaa sokoni
kwa sababu sasa wamepata sababu ya kuhalalisha biashara hiyo kwa kisingizio tumefukuzwa shule na hatuna jinsi
nyingine yoyote ya kupata pesa za nauli bali kujiuza kupata pesa ndipo warejee makwao.

(b) Uchangudoa wa survival!.
Hawa ni wale ambao hawana tabia tabia hii ya kujiuza, lakini wamefukuzwa shule, hawana hata senti tano, hawana
chakula, hawana pa kulala wala hawajui kesho itafikaje!, the only thing that they have is their bodies, hivyo kulazimika
kujiuza out of necessity kwa lengo tuu la kupata nauli au kuweza ku survive hadi kesho yake, hivyo kujikuta
wamelazika kuyafanya hayo kwa kuwa forced na circumstances na hapa nikatolea mfano hata wewe ukimfukuza binti
yako nyumbani ambaye ni tayari, akiwa hana popote pa kwenda, ili asubuhi ifike, atajikabidhi kwenye mikono yoyote
itakayompa hifadhi kwa usiku huo, na hizo huduma lazima atatoa kwa kupenda au bila kupenda!, hapa nikasisitiza
kuwa seikali kuwafukuza bila maandalizi ndio kumepelekea kuwa force mabinti zetu kufanya vitendo ambavyo sivyo,
hivyo wanafunzi hawa hawakutendewa haki!.

3. Udikiteta wa Naibu Spika, Dr. Tulia Ackson

Hapa nilisema Spika makini pekee alikuwa Spika Sitta tuu kwa sababu alikuwa anajua sheria, Spika Makinda na Spika Ndungai sio wanasheria, hivyo wapinzani mule bungeni, walizoea ku call the shots kwa kuwaonea sana sana, lakini Naibu Spika ni mwanasheria mbobezi ambaye anacheza by the rules, na kanuni zinamuhusu!, sasa anapotumia kanuni kuzuia mijadala to government advantage, ndipo sasa wapinzani wanalalamikia udikiteta!, hizo kanuni Tulia hakuzitunga yeye, amezikuta zimetungwa na wengine walikuwepo hawakuwahi kuzipinga, hivyo zikitumika ipasavyo ndipo sasa zinalalamikiwa!.
Wanachotakiwa kufanya wapinzani ni kuhakikisha zile kanuni zote za draconian zinafutwa ili bunge liendeshwe kwa logic na sio kwa first and hard rules, hivyo Dr. Tulia yuko right kutumia kanuni kuwabana wabunge vile anaona inafaa na kanuni zinamuhusu!.

4. Rais Magufuli Kuwaita Vilaza
Hapa nilisema wazi, kitendo cha rais Magufuli kuwaita wanafunzi wale ni vilaza, ni lugha ya maudhi kutumiwa na mkuu wa nchi!, ila nikasema naunga mkono matumizi ya lugha hiyo kwa sababu mimi ni muumini wa ukweli, ni kweli mwanafunzi yoyote aliyepata division 4 ni kilaza!, nikatolea mfano wa mwanafunzi fulani kilaza aliyeko UDOM ambaye anazungumzwa sana humu jf, ni zao la wazazi vilaza!.

Nikasema Magufuli yuko right, wanafunzi wale ni vilaza, ila walidahiliwa kwa sheria mahsusi ya kuruhusu vilaza kujiunga kozi ya ualimu, sheria ile ya elimu ya vilaza ilipitishwa na cabinet ambayo Magufuli alikuwemo hivyo ni cabinet yetu iliyotuletea sheria ya vilaza, hivyo cabnet ile ni cabnet ya vilaza, na kikubwa zaidi sheria hiyo ilipitishwa bunge letu, hivyo bunge nalo ni bunge la vilaza lililopitisha sheria ya elimu ya vilaza, na miongoni mwa wabunge walioipitisha sheria ile ni hao hao wapinzani waliomo bungeni.

Nikampongeza Magufuli kwa kuwa mkweli sana kuhusu hawa vilaza, pia nikampongeza kwa ukali wake katika utumbuaji majipu, nikasisitiza maadamu sheria ya vilaza hawa ilipitishwa wakati mkuu wa nchi sio yeye, ili kuonyesha anauchukia ukilaza toka ndani ya nafsi yake, yeye kama rais, asiishie kuwaita tuu wanafunzi wale vilaza, bali aitengue sheria ile ya vilaza iliyopitishwa na cabnet vilaza, na kupitishwa na bunge la vilaza ndipo ataokena kuitendea haki nchi hii na kuwatendea haki vilaza wale!.

5. Ukweli wa Mambo Wanafunzi Vilaza kuwa Waalimu.
Nia ya serikali kuleta sheria ya wanafunzi vilaza ilifanyika kwa nia njema, na haikuanza leo. Nikajitolea mfano mimi mwenyewe nilisoma primary enzi wa UPE. Hawa walikuwa ni waalimu waliofeli darasa la saba, lakini wanauwezo mkubwa hivyo walipigwa msasa wakawa waalimu wa darasa la 3,4 na la 5!.

Hawa wanafunzi wanaoitwa vilaza ni kweli baadhi yao wana div 4 lakini wamefanya vizuri masomo ya sayansi!. Walitafutwa ili wapikwe kuziba ombwe la uhaba wa walimu wa sayansi. Wanafunzi waliofanya vizuri masomo ya sayansi hawa time na ualimu, hivyo taifa liwatumie hata wanafunzi waliofeli lakini wamefanya vizuri masomo ya sayansi na hicho wanachosoma hapo UDOM ni Stashahada na sio shahada. Udom ilichaguliwa kuendesha kozi hiyo kwa sababu ndio pekee chenye uwezo huo. Vyuo vingi viliomba UDOM wakashinda.

Hivyo kuwaita wanafunzi hao ni vilaza sio kuwatendea haki, pamoja na ukilaza wao, kwenye masomo ya sayansi wangeweza kuokoa jahazi!. Hivyo nikashauri wanafunzi hawa watendewe haki.

Paskali.
nmekuelewa sana kaka kweli ww mchambuzi sana kwa maelezo yako huyu aliyeanzisha mada anabdi abadilishe kichwa cha thread yake ...au haya maelezo yako akayaupdate kwenye maelezo yake
 
Pasco ni chumia tumbo tu na ndio maana hao star tv wanampatia hiyo nafasi maana ni wale wale kina mkinga
 
Labda anataka ukuu wa wilaya
Hivi uteuzi wa Ma DC ume
Hivi uteuzi WA Ma DC vipi?
Mimi ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea.

Kama kuna mtu anazijua scales la mishahara za taasisi inayoitwa FCO, naomba aangalie mtu wa ngazi inaitwa LE1. Mimi niliajiriwa FCO kwa mshahara wa LE1, nikaacha kazi mwenyewe kwa kupenda. Sasa angalia mtu anayeacha mshahara wa LE1 wa FCO alafu aje kuwa DC?!.

Kama una access na NHC nenda kaulize mpangaji wake mmoja mwenye jina la Pascal Mayalla, uangalie analipia kiasi gani kodi ya pango kwa mwezi, kisha linganisha na mshahara wa Bwana DC, ujiulize mtu huyu autake UDC kwa ajili gani?!.

Nawaheshimu sana Ma DC kwa huduma za utumishi wao kwa umma, ila amini usiamini, msidhanie kila Mtanzania anatamani sana kuwa DC!, amini nakuambia kuna watu kibao tuu wenye sifa za kuwa MDC, huo u DC hawataki hata kuusikia!.

Kuna baadhi yetu tumeacha kazi za kuajiriwa kwa sababu hatuwezi kutumwa na yoyote!, mimi ni mmoja wao, nilitoka utumwani zamani, siwezi tena kurejelea utumwa wa kutumwa na yoyote!.

Asanteni.

Paskali
 
Elimu yake haimruhusu hata kidogo
Pasco ni chumia tumbo tu na ndio maana hao star tv wanampatia hiyo nafasi maana ni wale wale kina mkinga
Hili la elimu ni kweli, mimi nilisoma enzi wa UPE na hili nimelisema pale Star TV.
Hili la kuchumia tumbo pia ni kweli kwa sababu ukiitwa pale Star TV, unalipwa fedha nyingi za kutosha kuendesha maisha yako kwa mwezi mzima, hivyo kila nikialikwa pale ndio ajira yangu kwa mwezi huo!. Nisipoalikwa nalala njaa!.

Paskali
 
Back
Top Bottom