Mkuu Hufi Leo, kwanza sikujitokeza kujibu tuhuma hizi kwa kuzipuuzia tuu kuwa kwa vile huu ni uongo na uzushi, uongo mwingine na uzushi ukiuupuuzia tuu utayeyuka na kupita tuu kama upepo hivyo nilipuuza kwa matumaini ni upepo tuu na utapita. Lakini leo baada ya kifo cha mama yake, nimeona nisiendelee kunyamaza hivyo ndio nimejotokeza leo na kukujibu in points format.
Hatua yangu ya kwanza, ni kutuma Salaam maalum kwa rais Magufuli.
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...
www.jamiiforums.com
Kisha nikawaka hoja zako in points format ili kujibu kila hoja
- Hukuna uthibitisho kuwa ni andiko langu lilipelekea jarida hilo lifuatiliwe, hakuna uthibitisho wowote kuwa sasa jarida hilo linafuatiliwa na hakuna uthibitisho wowote kuwa Eric Kabendera ndie mwandishi wa makala mimi nilizokuwa nazileta humu.
- Mimi sina uthibitisho wowote kuwa watu wa Idara nyeti walianza kufuatilia jarida lile baada ya bandiko langu humu jf, lakini kwa vile hata sisi humu jf hatujuani nani ni nani, its good to know that na pia sikuwahi kumjua mwandishi wa makala zile, I'm now learning from you.
- Kwenye makala zangu nilikiwa naweka kila cha kweli na cha uongo, niliukubali ukweli na kuupinga uongo na sio kwa lengo la kujipendekeza kwa Msukuma mwenzangu. Kazi ya mwandishi wa habari ni kusema ukweli na kuandika ukweli, mimi ni mkweli, msema kweli na mwandika ukweli bila kujali ukweli huo utamfurahisha nani au kumchukiza nani.
- Naendelea kusisitiza sikuwahi kumjua mwandishi ni nani, ila hata ningemjua, as long as anachoandika ni kweli, bado nisinge muita mwandishi yoyote kumuonya kwa kazi yake yoyote bali bado ningeendelea kukosoa au na mimi kuandika makala zangu kwenye magazeti yangu ninayoandikia. Hapa nilipo kuna waandishi wengi critical tunafahamiana na kuheshimiana, andiko lolote linajibiwa kwa andiko na sio kwa kuitana.
- Hii ni personal opinion, kuna watu wenye roho za kishetani ambao wanafurahia binaadamu wenzao wanapopata matatizo, very unfortunately mimi sii miongoni mwa watu wa kundi hili, wanaonijua wananijua na wanaonisoma, wananisoma.
- Kwavile tangu mwanzo sikujua kama ni Eric Kabendera wala sikujua nini kitatokea, pia hili sikulijua.
- Hili sii kweli.
- Ungeliweka hilo andiko
- Waandishi wa habari hawawezi kulifanya hili.
- Nimeunga mkono rai yako.
Nampa pole sana Eric Kabendera kwa mapito anayopitia.
Pĺ
I am unfeigned worried with JF members' comments and views about the matter, it's very cumbersome for us to personally attack people's arguments Na Mayalla inclusively!
Kaka Mayalla kwanza nikupongeze kwa ukimya wako, nilifuatilia uzi huu kwa ukaribu mno juu ya maoni ya wana JF, nasikitika mno kuona maoni ya wenzetu humu ambao kwa mara zote wamekuwa wakitaka haki na uhuru wa watu bahati mbaya sana hawajui ama wanataka uhuru huo uegemee katika kutimiza hisia za walio wengi, hii ni hatari!
Katika mkutano wa Mh Rais na waandishi wa habari,ni Paskal Mayalla pekee aliyeuliza swali ambalo hata mheshimiwa alitikisa kichwa, , Mayalla hakuuliza hili swali kama Mayalla au msukuma no alitimiza haki yake kikatiba na kama mwandishi wa habari anayesimamia peofession yake.
Vivyo hivyo ndg Mayalla uliendelea kutimiza haki yako kukosoa,kusahihisha na kupongeza mambo kadha wa kadha, kama msomi na mwandishi wa habari ulifanya vile kutoa maoni yako juu ya kinachoonekana leo kwamba wewe ndio source,
Kwa muktadha ule ule ulikosoa kwa kuubeba utanzania wako kama mtanzania juu ya bandiko,hivyo hukupaswa kabisa ujibiwe personally badala yake watu walitakiwa wajibu hoja na si mtu!
Wasamehe kaka Mayalla, MUNGU ndie anayejua na siku zote mwanadamu hana shukurani na asiyekutakia mema hakuchagulii tusi, leo unaonekana weww mbaya wakati ulifanya jambo la msingi kama mwingine ambavyo anatoa maoni humu jamvini na uzuri ulikuwa unajenga hoja lakini leo watu wamesahau, nimesoma mwenzentu mmja kaenda mbali na kusema eti kwa hili lazima ubebe lawama duh binadamu kweli muda mwingine hatujui hata nini tunachotaka!
Pole kaka kwa hili lakini baki imara,
Be blessed!
Sent using
Jamii Forums mobile app