Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,206
- 27,015
Hii ni ID nyingine ya Paskali wa JF?na baadae nikakirudisha dtv
Mnapojibu watu utumbo humu msidhani wote wanaita simu janja eti "tachi"Pascal gani amewahoji wanasiasa mwaka 1995, Pascal huyuhuyu wa JamiiForums au mwingine ???
Ukiona vyaelea, vimeundwa. Humu JF tumetoka mbali, usisahau tulianza na pasco...ID nyingine ya Paskali wa JF
Inaitwa induced axolotls metamorphosis kwa lugha ya kitaalam!The Imp said:Aliitwa kule dodoma kwa yule mgogo ndio wakam-cement kabisa the new born again Pasco.
Tuliomfahamu toka wakati wa KITIMOTO katu hatushangai! Je una hakika gani anayetumia ID ya Pascal Mayalla ni yule yule wa zama?Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana.
Mkuu The imp, kuna kitu umekisema hapa, Pascal Mayala kazeeka haoni mbele tarehe 25 mwezi 9, mwaka 2019 kunihisu mimi, halafu kilikuja kutokea kweli!. Nikisoma hapa ulisema nini kunihusu na nikipima na kilichokuja kutokea, kiukweli, naanza kujiogopa!.Na mbaya zaidi kaanza kuwa "prophet of doom" he always wishes doomsday to come in Tanzania for his devilish foresight about someone the "damned"
Na wote tuseme Amina ,
Sema mpakwa mafuta ! 😀Halafu akaja kuwa pasco the shaman prophet of doom ambae bado anaamini kwa daudi albert bashite ni mtu sahihi kuwa mkuu wa kaya.just imaginendugu msomaji.
Mkuu nguvu , huyo Allyoki ni verified name, ndie mmiliki mwenza wa Masai Studio waliokuwa watayarishaji wa kipindi cha Kiti Moto, mimi nilikuwa just a presenter. Tena presenter wa kwanza wa Kiti Moto ni Betty Mkwasa.Hii ni ID nyingine ya Paskali wa JF?
Mkuu Mag3 , tangu nimejiunga JF, sijawahi kutumia fake I.D, nimejiunga as Pasco, (wajf) baadaye nikaongeza account ya pili ya Pascal Mayalla hivyo nika exist in duality, na baadae nika merge Pasco na Pascal Mayalla, sijawahi kuwa na fake ID yoyote!.Ukiona vyaelea, vimeundwa. Humu JF tumetoka mbali, usisahau tulianza na pasco...
Inaitwa induced axolotls metamorphosis kwa lugha ya kitaalam!
Tuliomfahamu toka wakati wa KITIMOTO katu hatushangai! Je una hakika gani anayetumia ID ya Pascal Mayalla ni yule yule wa zama?
Kiukweli mimi nimejizeekea tuu sijazeeshwa!.Kuna kuzeeka na kuzeeshwa kama ilivyo kung'atuka na kung'atuliwa, kutumbua na kutumbuliwa. Kumbuka kiumbe anayeweza kubadilika na kubaki yule yule ni kinyonga peke yake
Mkuu FUSO , you are absolutely correct, mimi ni wa late 60s, hivyo bado sijagonga 60 ila ndio naelekea!.sidhani kama kashagonga sitini...hapana nafikiri bado bado anasogea...afu kuna mzee mmoja alishasema kazi ya ofisini si kama kazi ya kuchanganya zege!! ha ha ha
Mkuu mzamifu , nimefarijika sana na mchango wako huu kwasababu kiukweli kabisa wewe ni mzamifu na unazama kweli kweli!. A level nimesoma fasihi, kufuatia mwana JF mwenzetu humu kupotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kupost humu mada fulani iliyomhusu mtu fulani. Kwa vile no one knows what really happened if it was a friendly fires or ni wale 'jamaa' zetu!.Kuna wakati nasoma kwa makini hoja zake ah nami hujiuliza vipi huyu but kuna wakati naona anatumia kitu katika fasihi kinaitwa "irony' yani mtu kusema kitu kumbe ni kama kinyume chake.
True kabisa, kama umeumbwa kwa mwili wa nyama, lazima utaogopa,Pia makala zake nyingine ni kama zinaonyesha ana uoga fulani kwa kuzifanya ziinamie upande anaouhofia.
That is good na bado naandika.Anyway historia ya uandishi wake hunifanya niendelee kumsoma lakini insnipa kazi kutafakari zaidi kulikoni!
Mkuu Fabolous umenikumbusha mbali.Kitimoto ninayoikumbuka sana ni ile siku aliyokua anahojiwa Waziri wa Fedha Danieli Yona
Alipigwa maswali magumu sana, lakini Mheshimiwa Waziri alikua mzima kichwani naye anajibu vizuri sana. Au kwakua nilikua kidato cha kwanza hivo niliona ngoma droo hakuna mshindi.
Mkuu Kifurukutu , acha kufurukuta, it's not true kuwa nazeka na umasikini wangu, kiukweli kabisa mimi ni tajiri sana wa roho japo ni kweli ni masikini wa mali.Mbaya zaidi anazeeka na umasikini wake
That is life and I am very happy now, nikiikumbuka enzi zile nina meno, kuna nyama gani sijatafuna!, ukikumbuka tuu ile raha imebaki machoni, it makes me very happy always.[emoji23]Mkuu Kifurukutu , acha kufurukuta, it's not true kuwa nazeka na umasikini wangu, kiukweli kabisa mimi ni tajiri sana wa roho japo ni kweli ni masikini wa mali.
Kuna watu utajiri wa mali makes them happy, kuna tajiri fulani namfahamu, hawajawahi kuwa real happy, halafu kuna watu masikini wa mali kama mimi na matajiri wa roho, we are really happy and we enjoy life to the fullest!, we live for today as if hakuna kesho, tukipata pesa tunazitumbua kisawasawa, zikiisha tunatulia.
Pamoja na umasikini wangu huu, I have no any regrets kwa jinsi tulivyoponda raha enzi tunazo, tulikuwa tunakwea pipa kama daladala kwenye London, Paris, New York, Rome kwenda kuchilly tuu!.
Sasa tumezeeka, pesa tumeishiwa, usafiri wetu ni daladala na ndege tunazionea hewani only.
That is life and I am very happy now, nikiikumbuka enzi zile nina meno, kuna nyama gani sijatafuna!, ukikumbuka tuu ile raha imebaki machoni, it makes me very happy always.
P
Mkuu lee van cliff , thanks for thisWatu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana. Huyu jamaa hanijui lakini Mimi namjua sana.
Thanks too for thisWatanzania wengi twamjua sana, EAC wengi wanamjua sana ingawa yeye anawajua kwa kuwaona watu wachache sana lakini mamilioni ya watu tunamjua.
Mtangazaji maarufu wa zamani.Kwa sababu gani?
Kwa sababu ni mtu mtangazaji marufu Sana hapa Tanzania
Kiukweli mwanzilishi wa jina la kipindi cha "Kiti Moto" sio mimi, mimi nilikuwa ni mwendeshaji tuu wa kipindi. Kipindi cha Kiti Moto kilikuwa ni kipindi kinachoandaliwa na Masai Studios, mwanzilishi ni Allyoki ambaye pia ni member wetu humu JF.Umaarufu wake ulisababishwa na nini?
Kwa wasiokua historians huyu ndo mwanzilishi wa jina maarufu lililo hai hadi leo la “KITI MOTO.”
Neno kiti moto leo hii linatumika kama hivi, “Leo nyumbani nimewekwa kiti moto na wazee kwanini sitaki kuoa" au "Yule mtu leo kawekwa kiti moto hadi kalipa deni lake"
Lakini kubwa kuliko yote jina Hilo likaitwa kwa hivi, "twendeni nikawanunulie kiti moto pale wanajua sana kuitengeneza nyama ya kiti moto”
Mwanzilishi wa jina au msemo huo maarufu ni Pascal Mayala.
Asante, hili nimeisha lifafanuaUmaarufu wake ni huu.
Kwa kifupi miaka ya 1995 hivi kama sijakosea Pascal alianzisha kipindi kilichopendwa na kutazamwa na Watanzania wengi sana na hata wasio Watanzania.
Kipindi hiki ilikuwa ukikikosa unajuta, maofisini, mitaani, magengeni, mabaa mahospitalini na maeneo mengine mazungumzo yalikuwa ni juu ya kipindi cha jana usiku cha kiti moto.
Kiti moto ilikuwa inaita watu maarufu hususan viongozi na Pascal alikuwa anawauliza masuali ambayo kwa kweli walikuwa wanaona kiti kinaunguza.
Hata kiongozi ajitetee vipi dogo Pascal atambana tu hadi mhojiwa atapoteza mwelekeo.
Pascal alihoji maswali tata sana hadi wewe mtazamaji unaanza kumuonea huruma muulizwa.
Kwa ufupi kilikuwa kipindi kitamu sana na watu makini hawakupenda kukosa kukiona. Maswali yake yalikuwa mazuri, ya msingi, ya kujenga ingawa wakuu walikiona cha Moto kweli.
Kwa upande wa maswali mpaka sasa bado niko vile vile wala sijazeeka kivile!. Naamini hili swali ulilionaga Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli kwa hivyo sijazeka kivile!Huyu Pascal wa JF sio yule, najua kazeeka yule alikuwa Bomba akiwepo kwenye press live akipewa nafasi ya kuuliza swali watazamaji wote utulivu ili kumsikiliza.
It's true madogo wa sasa hawapendi kushirisha mental faculties zao, kuna issues nyingine ni ngumu kuzieleza hivyo kujikuta lazima uziongee kwa parables mfano issue kama hii kuhusu uchaguzi wa 2020 Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!Huyu wa JF kazeeka. Ameamua kukubalika kutukanwa mitandaoni kisa anatoa mada ngumu kuzielewa kwa vijana wa leo. Mada za mafumbo, za kuuma na kupuliza, za kutotaka lawama, anaishia kutukanwa na madogo.
It's true kwa sasa nimejizeekea, naendelea kuandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo sasa ni ajili ya wote lakini zile hoja specific kwa watu maalum, lazima, ziendelee ambazo ili kuzielewa ni lazima uwe na uwezo to read in between the lines.Yeye ukimlaumu atakuambia
"Read between the lines"
Give credit where it is due! Ubora na umaarufu wa "kiti moto" ni zao la Paschal Mayalla mwenyewe; kwa tunaomfahamu Paschal kitaaluma yeye ndiye alikuwa the brains behind the success of Kiti Moto; ile ilikuwa live interview sio studio production!Sipendi kumkandia Mayalla ila nikukosoe kidogo. Mara nyingi anayeonekana kwenye lensi ni mtangazaji lakini ujue kazi yake kubwa ni kusoma maswali ambayo ma producer wamemtayarishia. Nikikumbuka vizuri Masai Studio ndiyo walikuwa ma producer wa Mayalla. Hivyo sifa zote ziende kwao na kwa Mayalla pia.
Kuna Paschal na Paskali .... Huyu atakuwa ni Paskali.Pascal gani amewahoji wanasiasa mwaka 1995, Pascal huyuhuyu wa JamiiForums au mwingine???
Baada ya kuona ID inaanza 'Kudoda' na 'Kufifia' sasa ni mwendo tu wa Kujianzishia Mada za 'Kipopoma' kwa ID zetu mbadala ( za akiba ) kisha Kujisifu ( Kujipakulia Minyama mingi ) ili Umaarufu usipotee JamiiForums japo ulishapotea baada ya kupata Kura 'Moko' tu katika Kura ya Maoni CCM ( 2020 ) Jimboni Kawe.Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana. Huyu jamaa hanijui lakini Mimi namjua sana.
Watanzania wengi twamjua sana, EAC wengi wanamjua sana ingawa yeye anawajua kwa kuwaona watu wachache sana lakini mamilioni ya watu tunamjua.
Kwa sababu gani?
Kwa sababu ni mtu mtangazaji marufu Sana hapa Tanzania.
Umaarufu wake ulisababishwa na nini?
Kwa wasiokua historians huyu ndo mwanzilishi wa jina maarufu lililo hai hadi leo la “KITI MOTO.”
Neno kiti moto leo hii linatumika kama hivi, “Leo nyumbani nimewekwa kiti moto na wazee kwanini sitaki kuoa" au "Yule mtu leo kawekwa kiti moto hadi kalipa deni lake"
Lakini kubwa kuliko yote jina Hilo likaitwa kwa hivi, "twendeni nikawanunulie kiti moto pale wanajua sana kuitengeneza nyama ya kiti moto”
Mwanzilishi wa jina au msemo huo maarufu ni Pascal Mayala.
Umaarufu wake ni huu.
Kwa kifupi miaka ya 1995 hivi kama sijakosea Pascal alianzisha kipindi kilichopendwa na kutazamwa na Watanzania wengi sana na hata wasio Watanzania.
Kipindi hiki ilikuwa ukikikosa unajuta, maofisini, mitaani, magengeni, mabaa mahospitalini na maeneo mengine mazungumzo yalikuwa ni juu ya kipindi cha jana usiku cha kiti moto.
Kiti moto ilikuwa inaita watu maarufu hususan viongozi na Pascal alikuwa anawauliza masuali ambayo kwa kweli walikuwa wanaona kiti kinaunguza.
Hata kiongozi ajitetee vipi dogo Pascal atambana tu hadi mhojiwa atapoteza mwelekeo.
Pascal alihoji maswali tata sana hadi wewe mtazamaji unaanza kumuonea huruma muulizwa.
Kwa ufupi kilikuwa kipindi kitamu sana na watu makini hawakupenda kukosa kukiona. Maswali yake yalikuwa mazuri, ya msingi, ya kujenga ingawa wakuu walikiona cha Moto kweli.
Huyu Pascal wa JF sio yule, najua kazeeka yule alikuwa Bomba akiwepo kwenye press live akipewa nafasi ya kuuliza swali watazamaji wote utulivu ili kumsikiliza.
Huyu wa JF kazeeka. Ameamua kukubalika kutukanwa mitandaoni kisa anatoa mada ngumu kuzielewa kwa vijana wa leo. Mada za mafumbo, za kuuma na kupuliza, za kutotaka lawama, anaishia kutukanwa na madogo.
Yeye ukimlaumu atakuambia
"Read between the lines"