simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
Pigia CCM. We don't need hypocrite votes.Bora waambiwe, wanaboa sana badala ya kushusha mambo muhimu tutingishe vichwa tusio wana siasa wanaleta ya ajabu. Wakiendelea hivi, kura za kushinda za 2020 wasahau kabisa tena % itashuka kupita 2015.
Pigia CCM. We don't need hypocrite votes.
Mkuu ni aibu kila siku kushadidia ya jana. Lazima ifike wakati masuala ya nani alikosa na nani alishinda tuachane nayo, after all katika kutafuta ushindi kuna mbinu nyingi ukishindwa hizo mbinu kubali umeshindwa. Je, Wamarekani wakati ule si walilalamika lakini wakaendelea na ujenzi wa nchi yao? Hivi mikutano ya hadhara ikiendelea tutapata wapi nafasi ya kufanya kazi? Aliyekosa 2015 asubiri 2020 ila asimbane aliyeshinda ili ikifika 2020 aonekane hajafanya lolote. Nchi gani iliongozwa kwa maandamano jamani, kama ni vikao vya ndani nani kazuia mbona CUF wanafanya, Chadema walichagua Katibu Mkuu n.k. Tumechoka sasaBora waambiwe, wanaboa sana badala ya kushusha mambo muhimu tutingishe vichwa tusio wana siasa wanaleta ya ajabu. Wakiendelea hivi, kura za kushinda za 2020 wasahau kabisa tena % itashuka kupita 2015.
Mkuu ni aibu kila siku kushadidia ya jana. Lazima ifike wakati masuala ya nani alikosa na nani alishinda tuachane nayo, after all katika kutafuta ushindi kuna mbinu nyingi ukishindwa hizo mbinu kubali umeshindwa. Je, Wamarekani wakati ule si walilalamika lakini wakaendelea na ujenzi wa nchi yao? Hivi mikutano ya hadhara ikiendelea tutapata wapi nafasi ya kufanya kazi? Aliyekosa 2015 asubiri 2020 ila asimbane aliyeshinda ili ikifika 2020 aonekane hajafanya lolote. Nchi gani iliongozwa kwa maandamano jamani, kama ni vikao vya ndani nani kazuia mbona CUF wanafanya, Chadema walichagua Katibu Mkuu n.k. Tumechoka sasa
Nilichokiongea unaweza kukipata hapa toka mdomoni mwa nguli wa siasa Mhe. Lowassa Lowassa: CHADEMA tume graduate kutoka kuwa wanaharakati hadi chama cha siasaMmmmmmm
Sasa unaandika mengine hata sijaongelea na ninaongelea sasa na baadae muweje ubishi mwingi na mie kama mwananchi nasema mnaniboa na hamnivutiiiii...hadi nimeshindwa kusoma yote uliyoandika...hadi kama nitapata muda sijui lini.
mm namkubali mh wasira alipeleka kesi mahakamani kupinga ushindi wa bulaya akaambiwa ameshindwa akakubali. kimbembe kipo kwa wapinzani hawakubali mpk waandaman e, leo hii kafulila kila siku anashinda mahakamani aiseeee pesa za ubunge tamuMkuu wa Uchakachuaji na kamati za Ufundi January ndiyo aliyegeuza matokeo na kuwa yalivyo sasa , kinyume na Hapo Leo hii ccm ingekuwa chama cha upinzani Kama KANU ya Kenya .
tunataka maendeleo sio maandamano, mnyika miaka 5 anaandamana kila mara badala ya kuleta maendeleo kutahamaki uchaguzi huu na jimboni hakuna alichofanya akaamua kuhama jimboBora waambiwe, wanaboa sana badala ya kushusha mambo muhimu tutingishe vichwa tusio wana siasa wanaleta ya ajabu. Wakiendelea hivi, kura za kushinda za 2020 wasahau kabisa tena % itashuka kupita 2015.
Kama unalijua hilo kwa nini uendelee kubwabwaja?Unaongelea uchaguzi wa Ubunge na Udiwani au?
Matokeo ya u-Rais hayapingwi popote tume ikishiyatangaza.
Kwa kifupi: hairuhusiwi kuhoji matokeo ya u-Rais mahakamani.
Uwe umeridhika au hujaridhika itakuwa kama tume ya Uchaguzi watakavyo.
hasira za kushindwa hizoKama unalijua hilo kwa nini uendelee kubwabwaja?
Mara ooh mwaka huu hatutaibiwa!!
Mara ooh yule mtaalamu wa kuiba kura kahamia ukawa.
Mara ooh pigeni kura tu swala la ulinzi niachieni..!!
Halafu baadae unaibuka na story ya kuibiwa kura.
Usijali, chama unacho. Kwenye masuala haya si lazima uwe na kadi hai. Hata mimi hiyo kadi sina. Na kwa maoni yako uliyotoa, you belong where I have 'placed' you, at chechemeee!Aaaagh umenichekesha sana kwa kuandika hivyo...yaani kabisa umeandika nini hypo.... Duh!!!!
Ndio unaniambia hivyo mimi mwananchi nisie na chama, kweli maajabu ya upinzani hayaishi.
Usijali, chama unacho. Kwenye masuala haya si lazima uwe na kadi hai. Hata mimi hiyo kadi sina. Na kwa maoni yako uliyotoa, you belong where I have 'placed' you, at chechemeee!
Indeed...Pigia CCM. We don't need hypocrite votes.