Pascal Mayalla apata ajali.....

Tupe madini mkuu
 


Pole sana Pasco, Mungu akusaidie upone haraka , Amina.

Haya ma pikipiki yametupotezea ndugu zetu na wazee wetu . Ni kwa vile mtu unakuwa huna budi tu, lakini usalama wake ni mdogo sana.
 
Nilitaka nishangae hiyo picha Pascal anaonesha bado kijana kabisa nakati mtu wa watu Uso ushashuka, hana habari na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…