Pasaka yangu imekuwa njema...

ai ai ai wewe ni nomaaaa...
chote kile?
kimeisha?
kimeisha ishaje?
🙂
Afu iangalie vizuri hiyo sahani ya plastiki, niliomba maalum kwa ajili yangu kwa kuwa ina kishimo katikati. Nipunje mshahara, sio chakula...
 
duh, basi kweli huku tunakula, yaani huu msosi kidogo hivyo mnashangaa mtu mmoja kumaliza??

Sasa mnapataje nguvu za kufanya kazi?
 
Heri ya Pasaka na ahsante kwa kunivunja mbavu!
 
Jamani baby Canta, umenitupa mpaka napoteza mawazo kwenye msosi?

Hehehehe!pole swaiba niko bize na mme wangu Rejao jaman,bado tuko hane muni tukirudi tutakukaribisha kwetu!
 
duh, basi kweli huku tunakula, yaani huu msosi kidogo hivyo mnashangaa mtu mmoja kumaliza?? Sasa mnapataje nguvu za kufanya kazi?
Hatubebi zege huku (ki-Mrema Mrema)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…