Vipi ile mihigo kule Kasangezi imepona?Huku Chigoma, tulihose.....
Ebhana, tatizo migazi ya babu yako kule kibirizi ndio imeliwa na wadudu sana, na sina uhakika kama mwaka huu atavuna michikichi ya kutosha mawese kama ilivyokua mwaka jana.
Kwa maelezo haya hii video kaisambaza mwenyewe
Mama, hatuonani
😂😂😂😂Wew si umetoka kigoma unahudumia nguruwe?
Kula tuu mkuu