Kwa maelezo haya hii video kaisambaza mwenyewe
Mwakani young ndio narudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ANgeitwa kwa Mariam ingekuwepoBirian ilikuwepo?
Afu anachojutia ni kuvuja kwa video, na siyo biriani kuliwa….Kwa maelezo haya hii video kaisambaza mwenyewe
Yaani kwangu ndo unakuita kwa watu..!!!Mwenyewe bado nipo kwa watu huku nimekaribishwa
Mzima wewe young
Huyu kijana hana tofauti na mgumba...tehteehhHahhaha chakula ule wewe halafu uje kutuuliza sisi
Na kweli si kwa tangazo hiliAkin slay queen anakwambia mjini hapa biashara matangazo
Hahahaha young mm sio mchoyo bwana we subiri mwakani nikirudi nitakualikaUchoyo tu unakusumbua mwanamke[emoji3][emoji3][emoji3]
Ebu uko we mzeeYaani kwangu ndo unakuita kwa watu..!!!
Mandi je?Naijua basi [emoji44]
nini sasa?Ebu uko we mzee
Huku Chigoma, tulihose.....[emoji16] baba kwema
Haya bwana mimi nipoHahahaha young mm sio mchoyo bwana we subiri mwakani nikirudi nitakualika