Salama Jay
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 131
- 68
Habari za saa hivi wanajf...let me go straight to my point..!mimi ni msichana single 25 this year..napenda sana kusafiri kuliko maelezo..yaani for leisure na adventure..kipato changu ni cha kawaida but I can afford vitu vidogo vidogo.!I plan to travel mwezi wa 6 au 7 kuelekea Nairobi.!so I need mtu wa kusafiri nae either male au female ila asiwe mzigo,aweze kujilipia expenses za hapa na pale yaani iwe half half..kama tutatumia 4million basi iwe 2m per person..anyone interested nicheck inbox!N:B usiwe mtu wa mood swings,it kills the fun!
Mkuu mimi ntagharamia malazi tu.....Habari za saa hivi wanajf...let me go straight to my point..!mimi ni msichana single 25 this year..napenda sana kusafiri kuliko maelezo..yaani for leisure na adventure..kipato changu ni cha kawaida but I can afford vitu vidogo vidogo.!I plan to travel mwezi wa 6 au 7 kuelekea Nairobi.!so I need mtu wa kusafiri nae either male au female ila asiwe mzigo,aweze kujilipia expenses za hapa na pale yaani iwe half half..kama tutatumia 4million basi iwe 2m per person..anyone interested nicheck inbox!N:B usiwe mtu wa mood swings,it kills the fun!
Upweke kwa kina dada ni janga, na hii yote ni kwa sababu wengine hujifanya matawi ya juu hawajichanganyi, wengine dini zimekolea, wengine kujifanya wako bize na kitabu!Kweli upweke ni tatizo linalozidi kutamalaki aiseeee......[emoji25]
Kweli aiseUpweke kwa kina dada ni janga, na hii yote ni kwa sababu wengine hujifanya matawi ya juu hawajichanganyi, wengine dini zimekolea, wengine kujifanya wako bize na kitabu!
Ukicheza karata zako fresh unaweza ibuka na wengi sana ukala mzigo, ila ni ving'amg'anizi bala, wakikuganda ni kama luba.
Pia wapo kwa sana makanisani na wale wa kuvaa kininja.