Partition magic software

Partition magic software

samike

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
609
Reaction score
236
Wakuu ninahitaji msaada wa kupata software hiyo ili niigawe hard disk ya computer yangu
mwenye kujua nitaipataje ya free anisaidie tafadhali.
 
Mkuu Mbona Unaweza Fanya Hivyo Bila Hiyo Software

leh said:
kama upo on windows seven, right click
computer alafu uchague manage.
*kwenye window mpya itakayofungua, chagua
disk management. right click on disk yako na
uchague SHRINK. *windows itachukua sekunde kadhaa kupiga
hesabu disk yako ina ukubwa gani na unaweza
kuchakachua kiasi gani.
*utaletewa yet another window ambayo itakuwa
na sehemu ya kuchagua unataka kuiba kiasi gani
(in Mbs) *piga next next za kutosha na utapata a new
unallocated disk
*format the new disk ili iweze kuonekana
kwenye windows and you are good to go kazi ya dakika tano, huhitaji any external
program, kaujuzi kidogo, na since unataka
kuweka Ubuntu nachukulia una uwezo so
sitaweka screenshots, ila ukikwama, nipo around
regards,
 
Nikweli kabisa kama alivyochangia ndugu nurbert.... kwa kuongezea hiyo software ya partition magic ni nzuri kama unaielewa vema ila nimbaya sana kama hujui kuitumia kiufasaha.

Inaweza kuua harddisk yko moja moja na ukapoteza kila kitu.
 
Mkuu Mbona Unaweza Fanya Hivyo Bila Hiyo Software
Nimefuata maelekezo yako mkuu nimefikia hatua hii
TOTAL SIZE BEFORE SHRINK IN MB 287217
SIZE OF AVAILABLE SHRINK IN MB 804
ENTER THE AMOUNT OF SPACE TO SHRINK 804
TOTAL SIZE AFTER SHRINK IN MB 286413.
sasa mkuu nimetumia kama nusu tu ya MB 287217 kwenye drive c, na ninapotaka kuiongezea ukubwa inakome
hapo hapo kwenye 804, ninashindwa kuongeza ukubwa zaidi, naomba msaada mkuu
 
Nimefuata maelekezo yako mkuu nimefikia hatua hii
TOTAL SIZE BEFORE SHRINK IN MB 287217
SIZE OF AVAILABLE SHRINK IN MB 804
ENTER THE AMOUNT OF SPACE TO SHRINK 804
TOTAL SIZE AFTER SHRINK IN MB 286413.
sasa mkuu nimetumia kama nusu tu ya MB 287217 kwenye drive c, na ninapotaka kuiongezea ukubwa inakome
hapo hapo kwenye 804, ninashindwa kuongeza ukubwa zaidi, naomba msaada mkuu
 
Sijakuelewa Mkuu!! unataka Kupunguza Kutoka C au Unataka Kuiongeza C??
 
Mbona Easy?? maelezo Yanaeleweka Labda Nikufafanulie tena!!

1 .. Right Click Ile Computer then Manage!!
2 .. kwenye Tab Itayofunguka Clicl Disk Management!! innakua Collumn Ya Kwanza Huku!!
3.. Ikifunguka utaziona Disk Kwa Chin!! za Bluu It Means Ndo ambazo zipo!! Ukiona kuna yenye rangi nyeus itakua haijawa Located so Itmeans hapo inatakiwa Uilocate kwa ku right click then new volume!!!!
So kama zote ni za bluu bas hapo bado Huja creat another disk!!! So i click hyo unayotaka kuipunguza then i right click!! Then shrink!! Hapo itakubidi uchague kias unachotaka kupunguza!! Huwa kinakua kwa mb so kama unataka kupunguza gb 65 manaake itaandikwa hivi 65000 mb hapo utaclick continue itajicreate disk ambayo itakua na rangi Nyeusi!! Huwa inaandikwa unhealth partition so utai click then then una Right Click, New Volume Then Unaichagulia Herufi Na Jina!! continue!! ikishakua Ya Blue It means Kule Imetokeaaaa
 
Mbona Easy?? maelezo
Yanaeleweka Labda Nikufafanulie tena!!

1 .. Right Click Ile Computer then Manage!!
2 .. kwenye Tab Itayofunguka Clicl Disk Management!! innakua Collumn
Ya Kwanza Huku!!
3.. Ikifunguka utaziona Disk Kwa Chin!! za Bluu It Means Ndo ambazo
zipo!! Ukiona kuna yenye rangi nyeus itakua haijawa Located so Itmeans
hapo inatakiwa Uilocate kwa ku right click then new volume!!!!
So kama zote ni za bluu bas hapo bado Huja creat another disk!!! So i
click hyo unayotaka kuipunguza then i right click!! Then shrink!! Hapo
itakubidi uchague kias unachotaka kupunguza!! Huwa kinakua kwa mb so
kama unataka kupunguza gb 65 manaake itaandikwa hivi 65000 mb hapo
utaclick continue itajicreate disk ambayo itakua na rangi Nyeusi!! Huwa
inaandikwa unhealth partition so utai click then then una Right Click,
New Volume Then Unaichagulia Herufi Na Jina!! continue!! ikishakua Ya
Blue It means Kule Imetokeaaaa

ahsante mkuu nimefanikiwa!Mungu akubariki!
 
Back
Top Bottom