Part Two: Wajue "MadadaPoa" wa Kwenye Madanguro

Part Two: Wajue "MadadaPoa" wa Kwenye Madanguro

Nusratt

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
1,707
Reaction score
4,192
Habari za wakati huu wa jioni members wenzangu pamoja na wahusika wote wa JF (JamiiAfrica), natumai mko salama.

Kama kawaida yangu leo nakuja na part two ya kundi la madadapoa wanaojiuza.
Na leo katika kundi hili tutawazungumzia hawa Dadapoa wa kwenye Madanguro

Part one ilikuwa hapa:

Ukahaba ni nini?
Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo.

Kahaba ni nani?
Kahaba ni mtendaji ngono anayepokea malipo baada au kabla ya tendo.

Sasa hili kundi la leo nitakalolizungumzia hapa ni kundi la hawa madadapoa wanaojiuza kwenye madanguro yale maarufu na yasiyokuwa maarufu pia.

Nasema hivo kutokana na kwamba kuna baadhi ya nchi, wilaya, mikoa na hata serikali inatambua uwepo wa hayo madanguro na huwa wameyabariki rasmi kufanya shughuli hizi aidha kwa kupitia mkono wa mkubwa au kwa kupitia watu binafsi kwa 'connection maalum' au kwa watu binafsi wenyewe kuamua tu 'liwalo na liwe'

Sasa katika hii sekta ya watoa utelezi, kuna madanguro ya aina mbalimbali:
1. Wamiliki wa nyumba binafsi:
Hawa hutoa nyumba zao binafsi wanazozimiliki zitumike kama danguro kama njia mojawapo ya kuwaingizia na kuwaongezea kipato.

2. Mpangaji kupanga nyumba nzima/upande wa nyumba na kisha kugeuza nyumba hiyo danguro:
Aina hii ya danguro ni pale ambapo mpangaji huja kwa mwenye nyumba kwa minajili ya kupanga nyumba au upande wa nyumba na kisha kuigeuza nyumba hiyo danguro kwa faida yake binafsi.

3. Wamiliki wa Guest/Lodge/Hotel:
Hawa nao hubadili matumizi ya hizo nyumba toka kuwa nyumba za kulaza wageni mpaka kuwa danguro rasmi.

Wengine wataongezea.....🤔

Baada ya kuona aina za madanguro sasa tuje kwenye kupata faida; yaani kwanini mtu ageuze nyumba yake, lodge au hata apange nyumba ya gharama na kisha kugeuza iwe danguro?
Sababu kuu ni kuongeza kipato ila kwa namna gani?

Mmiliki wa danguro anapata faida kubwa sana kuliko mnavyofikiria.
Anakusanya pesa nyingi mno iwe kwa siku, wiki au hata mwezi.

🔶️Chukulia mfano una lodge yako ina vyumba 20 na ukaigeuza danguro huku kila chumba una mpaka madada poa 3
Hivyo ni 20×3=madadapoa 60 lodge nzima.
Na kila chumba ni Tsh 15,000 cash kila dadapoa mmoja.
Hivyo unachukua kila chumba tsh 45,000 kwa madadapoa 3 × vyumba 20 =900,000 (laki tisa cash kwa siku)
900,000× wiki × mwezi?
Hapo ukitoa pesa ya umeme, maji, askari wa zamu, takataka, kiziba mdomo cha balozi, posho ya maji ya mkubwa wa polisi (hizi hazitolewi kila siku) ni lazima ubaki na kibunda cha kutosha.
Nani unategemea ataiacha hii biashara?

🔶️Umepangisha au umegeuza nyumba yako danguro na una wadadapoa wako 30 ambao unawatambua.
Kila dada poa kwa siku anakupa 10,000 tu
10,000×30=300,000 (laki 3 cash kwa siku) × wiki =1,200,000 hapo bado mwezi.
Ukitoa pesa ya umeme, maji, askari wanoko, mwenyekiti wa wanoko mtaani, takataka (hizi hazitolewi kila siku) lazima ubaki na kibunda cha kutosha
Nani unadhani au unategemea ataiacha hii biashara?

Na ukumbuke nimeweka bei hizo za malipo ya vyumba vya 15,000 au 10,000 kwa bei za mjini japo kuna maeneo mengine bei inakuwa iko juu zaidi ya hii au chini ya hii.

Unaweza kujiuliza hao madada poa 3 kwa kila chumba wanalalaje?
Iko hivi, si kila dada poa analala danguroni.
Wapo wanaokuja kufanya kazi usiku tu na asubuhi huondoka na wapo pia wanaofanya kazi asubuhi na jioni wanaondoka makwao.
Na hata hao waliopangisha au kugeuza nyumba zao madanguro pia hugharamia godoro na maji tu.
Shuka, mto, mafuta, condom huja nazo dadapoa.

Na utajiuliza wateja wanakubalije kubanana hivi kwenye chumba kimoja cha madadapoa 3?
Ni kwamba mara nyingi wateja hawagongani ila kwa nadra sana.
Mnaweza ingia 2 na wateja wenu na mwingine akawa yuko nje anasaka mteja.

Kanuni za kwenye madanguro:
1. Pesa ya mmiliki wa danguro hailali, ukimaliza kazi pesa mkononi.
Ukipata mteja wa awali unalipia nusu na ukipata wa pili unamalizia pesa yako kisha unaendelea mpaka uchoke.

2. Maji, umeme, takataka kuzolewa vyote hivyo ni bure kwa dadapoa.
3. Ni marufuku kumuona mtu (mteja) unayemjua na kumuita kwa jina lake halali, unafukuzwa.
Vingine watamalizia wadau.

Faida ya Madanguro:
🔸️
Yanapunguza kwa kiasi kikubwa vitendo vya ubakaji na uzururaji
🔸️Ni 'ajira isiyo rasmi' na iliyo rasmi vilevile kwa akina dada wengi kwani hujipatia kipato cha kuweza kuendesha maisha ya familia zao na mahitaji yao kiujumla.
🔸️Mmiliki wa danguro kupata pesa ya haraka kwa muda muafaka.
🔸️Wateja kutoonana kwani huzama chumbani na kutoka chap.
🔸️Unafuu wa malazi kwa madadapoa waliotoka mikoani au wasiotaka kujulikana kama ni makahaba huko wanakoishi.
🔸️Kujenga urafiki na kukaribishana kwa baadhi ya madadapoa sehemu ingine.
🔸️Baadhi ya wamiliki wa madanguro huwa na utaratibu wa kuwapimisha afya ya uzazi na mwili madadapoa wanaowamiliki.

Hasara ya Madanguro:
🔸️Hubeba madadapoa wengi hivo magonjwa ya kuambukiza huwa nje-nje.

🔸️Mteja akipata tatizo basi chumba husika kuwajibika lazima.

🔸️Upotevu au uharibifu wa baadhi ya vitu vyumbani au nje pale kunapotokea ugomvi kati ya mteja na dadapoa au dadapoa kwa dadapoa, pia unaweza kuingia na mteja mwizi kisha akakutia hasara.

🔸️Kuchomeana kwa mapolisi kwa baadhi ya wamiliki wa danguro hili na lile, ndiyo; wamiliki pia huwekeana bifu si unajua penye riziki hapakosi fitina.

🔸️Wamiliki kuwafukuza wapangaji wao baada ya kugundua nyumba zao zimegeuzwa madanguro.

🔸️Wananchi au Serikali kubomoa nyumba yenye danguro kilazima kwa maslahi ya jamii inayozunguka eneo lile.

🔸️Kutokea vifo. Mmiliki wa danguro huwajibika pale kinapotokea kifo kiwe cha mteja au dadapoa na hii ndio maana lazima kuwe na 'connection' muhimu

Soma hapa:
Ila niwaambie kitu kimoja, mara nyingi waume za watu, viongozi, askari, au watu wenye nyadhifa kubwa katika taasisi mbalimbali za dini na serikali huwa si wapenzi wa kwenda kupata huduma kwenye madanguro kwani unaweza kwenda kule ukagongana na mwanao au ndugu, kiongozi mwenzako au mtu yeyote mnayejuana au kufahamiana.
Madadapoa wa barabarani ndio chaguo bora na la kwanza la hawa viongozi wakubwa kwani pale ni kama vile 'hit and run' mnakutana mnamalizana wenyewe bila kuonana na wengine.

-Dadapoa wa kwenye danguro ikitokea akaumwa au kuumia ujue pesa ya siku hiyo inasoma labda mkusanya pesa awe na huruma kwako.
-Ukiwa period pesa hailali maana unaweza piga kazi na damu zako😄 na ukaingiza mpunga vilevile (sema ule utelezi uwiiii!!!!)

Tabia za madadapoa wa kwenye Madanguro:
1. Huwa na kiburi kwani wanajua wako chini ya mmiliki mwenye connection na mkubwa hivo usishangae kutoa pesa na usipewe huduma na hamna kitu utafanya.

2. Huwa hawaendekezi sana pombe na sigara kwani wanaweza kuwa wanawakera wenzao wasiovuta au kunywa pombe endapo watakuwa wanashare nao chumba kimoja.

3. Huwa wanafanya ngono kwa usalama kiasi sio sawa na hawa wa barabarani.
Mmiliki anaweza kuleta maboksi ya condom kwa ajili ya madadapoa wake.
Mmiliki huita mtoa huduma za afya kwa ajili ya kuongea na madadapoa kuhusu afya zao na ngono salama.

4. Hurogana vibaya sana, yaani unaweza kuta kuna mganga kabisa analipiwa chumba na madadapoa kwa ajili ya kuwaganga ili kupata rizki.
Hapa waganga hupiga sana pesa kwenye madanguro.

5. Ni wasafi na wanajipenda na kuvipenda vyumba vyao japo wapo wachafu ila si kwa %kubwa kama wa mabarabarani.

6. Huwa mara nyingi hawana 'tag ubavu' hivo ikitokea sekeseke na mteja chumbani basi kama sio kuumia au kupambana mwenyewe, basi wakutetee dadapoa wenzako au mlinzi wa zamu wa lodge/nyumba wa siku hiyo

7. Huwa na wateja wao rasmi.
Mteja anajua akienda danguro fulani, chumba namba fulani ana mtoa huduma wake spesho asiye na tamaa au asiye na mambo mengi.

8. Hupata pesa japo si kwa kiasi kikubwa kama wa barabarani kwani licha ya kutoa pesa ya chumba, pia hujihudumia kwa chakula, matibabu waumwapo au waumiapo au hata wakati mwingine wapo wanaolipa pesa ya ziada ili kufuliwa, kufanyiwa usafi vyumbani n.k
Wa barabarani hawana hizi mbanga, wao popote pale chumba hapo bado hawajawaibia wateja na ndio maana hupata sana pesa hawa🙂

9. Huwa na upendo kwa kuwakaribisha wenzao wanaotafuta maisha wajumuike nao tofauti na wa barabarani.
Madadapoa wa barabarani wako radhi kuchanga pesa ili kumuitia demu mgeni polisi ili afukuzwe kijiweni ili wabaki wenyewe ila kwenye madanguro ni tofauti.
Kwa hili nawapo hongera sana madadapoa wa kwenye madanguro😍

10. Mara nyingi madadapoa wa kwenye madanguro huwa ni watu wazima kiasi wale wasiotaka kukimbizana na askari huko barabarani ndio maana huchagua kukaa kwenye danguro ili kuepuka usumbufu huo


Hivyo maafisa utelezi wote wawe wanaosimama barabarani au wanaopatikana kwenye madanguro ni hatari kwa afya na usalama wa afya yako:-
🔸️Tumia kinga.
🔸️Vaa kinga kikamilifu.
🔸️Fanya ngono salama kuepuka maradhi.
🔸️Usiende kununua dadapoa ukiwa umelewa.
🔸️Usimnyonye matiti au uchi dadapoa.
🔸️Usikubali kufanya mapenzi na dadapoa taa ikiwa imeziwa💡
🔸️Epuka kufanya au kujaribu kufanya ngono kinyume na maumbile
🔸️Mlipe mtoa huduma pesa yake kadri ya makubaliano yenu ya awali.
Usimdhulumu dadapoa ujira wake mliokubaliana kwani nao wako kazini kwenye utafutaji ili wapeleke chochote kwenye familia zao.

Wabillahi Tawfiq,
Nusratt Mohammed.
Screenshot_20250605_162003.jpg


IELEWEKE:👇👇👇
Nimeandika mada hii kwa ufahamu wangu na si kwa minajili ya kuwatamanisha wamiliki wa lodge, guest au makazi yao kubadili matumizi.
 
Kuna siku nilikuwa na nyege zangu nikafikiria hv hakuna danguro hapa tz ambalo unaweza fika ukapewa huduma ya nyama nyama baada ya kufanya vipimo vya ngoma na zinaa

Yaan kuna danguro madada poa yanaweza kukubali kupimwa afya ili nijilie vinono
 
Kwa namna yoyote iwayo ewe kijana “jitenge na zinaa/uzinzi/uasherati/umalaya”

Hivi huwa wanafanya wajinga na wasiofunzwa vyema ikiwa umefunzwa vyema na wazazi wako vizuri pita njia waliyopita wao oa kama baba yako au olewa kama mama yako dunia utaifurahia.
 
Nusratt mimi napenda vile unavyoandika herufi kwa ufasaha na mtiririko mzuri. Ila siku hizi kuna makaka poa pia, siku uje na hii mada. Kuna wanaofanya kama massage parlour kumbe ukizidiwa, unaambiwa utaongeza kiasi kadhaa uhudumiwe.

Kuna kaka poa, kapanga nyumba nzima kazi ni hiyo.
Haya wanunuzi wa utelezi, mmekaribishwa, mtupe mauzoefu yenu.
 
Nusratt mimi napenda vile unavyoandika herufi kwa ufasaha na mtiririko mzuri. Ila siku hizi kuna makaka poa pia, siku uje na hii mada. Kuna wanaofanya kama massage parlour kumbe ukizidiwa, unaambiwa utaongeza kiasi kadhaa uhudumiwe.

Kuna kaka poa, kapanga nyumba nzima kazi ni hiyo.
Haya wanunuzi wa utelezi, mmekaribishwa, mtupe mauzoefu yenu.
Eneo na mtaa?
 
Eeh kumbe hii biashara inawateja namna hii watu humu wamekaa kimya utadhan wao sio wateja
Umeshawahi kumhisi mtu kama ni mteja wa makaka poa?
Basi kuna watu na heshima zao ndio wateja wakubwa. Kuna mtu mmoja mwenye degree nyingi tu amempangishia msenge wake nyumba Tabata. Nikikuonesha picha yake utakataa.
Au yule uchafu mwingi wa dampo ambaye hana shida na kitu kinaitwa K, yeye ni wanaume tu tena watu wenye wake na familia zao.
 
Back
Top Bottom